Najisikia vibaya kutembea na mke wangu.

Najisikia vibaya kutembea na mke wangu.

Kuna mwanaume anaweza omba ushauri wa kijinga kama ulioomba hapa? Hata baba yako huko aliko anajuta kuzaa toto laini kama wewe.
Unapoamka kwenye geto la mshikaji kitu cha kwanza wanawake wenzako wanafanya ni kupika chai sio kuanza kudanga mitandaoni kutafuta mabwana wapya.
 
Siamini kama nikwel unashindwa kutembea na umpendae labda ukute humpend. Af acha kujizarau umempenda anakupenda cidhan kama anakuchukulia kama unavyojichukulia ww(broken boy) cha msing jikubali kutembea mbele nyuma n swaga za kizaman
Kama tunasafari ya pamoja inabidi mmoja wetu atangulie.. Kwa sababu tukiongozana pamoja watu wanamshangaa sana na wengine wamefikia hadi hatua ya kuniambia kuwa siendani na mke wangu.. Kwani ni dhambi kwa broke guy kuwa na mwanamke mzuri?
 
Huyo ndie Mungu kakupa endelea nae.

kabisaaaa. yani huyo mwanamke kawaona wazuri woote ila kawaacha kamfuata yeye japo ni broke it means ana kitu cha ziada, itabidi ajitazame upya aone utofauti wake kwa wengine in a positive way.
 
Kwa hayo maelezo yako, hapo tatizo wala siyo uwezo wako kifedha...

Hapo tatizo linaonekana.. mke wako atakua mbaya...

Kama unabisha weka picha yake...


Cc: mahondaw
 
Usiishi kwa kuangalia au kusikiliza maneno ya watu, Mkeo anakuona unamfaa ndiyo maana yuko na wewe.
 
HIV still doesn't have a cure and life still doesn't have spares ,

One night stands are not safe , if you must use protection.

Withdraw isn't effective, and you're most likely not ready to be a parent, use protection coz pills are dangerous and abortion is super risky
 
Kama tunasafari ya pamoja inabidi mmoja wetu atangulie.. Kwa sababu tukiongozana pamoja watu wanamshangaa sana na wengine wamefikia hadi hatua ya kuniambia kuwa siendani na mke wangu.. Kwani ni dhambi kwa broke guy kuwa na mwanamke mzuri?

Tupia kapicha kake mkuu tukushauri
 
Kwa hiyo umeamua kumpa nafasi ya kuwa peke yake ili aliwe in peace?

Jiamini basi...kuwa broke sio kilema pambana uzipate

😅😅😅😅😅 one of the very wise and strengthening coment of the day!
 
Mwanaume mzima unashindwa kujiamini na unabaki kusikiliza nini watu wanasema? Hufai kuwa kiongozi wa familia ata kuongoza mbuzi kwenda malishoni Hufai
😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆 hata kuongoza mbuzi nayo haifai aisee hii dharau inaweza kumtoa hata anko Magu magogoni
 
Back
Top Bottom