Babe naumwaa😪Baby ulikuwa wapi, mbona hujaja hata kuchukua hela ya Idd, Leo umenisikitisha sana.
Wanaume wa Dar shida sana
Utukome hatuhusiki siye, huyu wa hukohuko mikoani+Dom
Wanaume wa mikoani hatuna tabia kama hizo
HahahaMuulize jamaa ni wawapi[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Hahaha
Hakuna mwanamke wa Dar anayeolewa na ndondocha
Wakichoka kudanga wanaolewa mpaka na wazee.
Basi litakua lizee[emoji1354][emoji1354] kinoma
Mimi ni wa Namtumbo..Wewe ni wa hovyo .
Mwambie mkeo ili aamue, uone kama utafurahi .
Pole, Mungu akusaidie upone kabisa.Babe naumwaa😪
Ahsante babePole, Mungu akusaidie upone kabisa.
Unapoamka kwenye geto la mshikaji kitu cha kwanza wanawake wenzako wanafanya ni kupika chai sio kuanza kudanga mitandaoni kutafuta mabwana wapya.Kila siku idadi ya wanaume inapungua kwa kasi ya ajabu, sasa jamaa kweli kwa maelezo kama haya kuna mwanajme hapa?
Mbona mnatuangusha hivi, takwimu kila siku zinaonyesha wanaume wamepungua japo wenye uume wapo wengi sasa hawa dada zetu mnataka washughulikiwe na nani kama kutembea na mkeo tu unaogopa huko kitandani si utaingia mvunguni kabisa..