Najisikia vibaya kutembea na mke wangu.

Najisikia vibaya kutembea na mke wangu.

Man wtf is wrong with you? Hayo maneno ndio yakufanye ukose aman ya kutembea na mke wako realy? Wameoa wao.. wanajua umetoa mahari kiasi gani?
Man ww ndio unamjua mke wako si wao. Stick with your woman period.
Kama tunasafari ya pamoja inabidi mmoja wetu atangulie.. Kwa sababu tukiongozana pamoja watu wanamshangaa sana na wengine wamefikia hadi hatua ya kuniambia kuwa siendani na mke wangu.. Kwani ni dhambi kwa broke guy kuwa na mwanamke mzuri?
 
Weka picha kama kweli....
Huyo hapo anatembea mwenyewe.
IMG-20190508-WA0008.jpg
 
Isije kuwa ni bibi bomba mkubwa wewe unatuaminisha ni mzuri..
Kama ni mzuri unasita nini kuongozana nae
Kama tunasafari ya pamoja inabidi mmoja wetu atangulie.. Kwa sababu tukiongozana pamoja watu wanamshangaa sana na wengine wamefikia hadi hatua ya kuniambia kuwa siendani na mke wangu.. Kwani ni dhambi kwa broke guy kuwa na mwanamke mzuri?
 
Hiv Sura yako inafanaje ? Maana unajisigi Una Sura mbaya kupindukia hebu jikubali
 
Kutokuwa na pesa
Kwamba mke wake anapesa au wote hawana? na sidhani kama jamaa ameshaoa wenda demu.wake tu.
Yaani mke anatembea na kuonesha dalili.ya kua yeye anazo pesa ila jamaa anatembea akionesha dalili kua hana pesa.
Duniani kuna mengi si kidogo.
 
Yeye anasema ni mke wake...amini tu
 
Back
Top Bottom