Najisikia kukiri hapa jamvini, naruhusiwa?

Confession....Unamwamini nani wewe, kati ya Mungu na Serikali? Ikiwa wamwamini MUNGU...iamini na SERIKALI....coz Mungu amebariki uwepo wa serikali..nayo serikali no inawasimamia wanaomwamini Mungu.

Je, "mkuu umepata viroba vya Tandale?". Kama kweli unajickia guilty, na moyo wako unachemka kwa hisia hzo, maana yake unatafuta uhuru wa nafsi. Ili hiyo hatia unayoi-feel ikuondokeee, nenda ka-confess mahali muafaka ilipojikita imani yako. Kuna maeneo matatu...mawili ndo muhimu(jamii uliyootenda, unakoabudu na mahakamani)..japo wana-tarime yao wakikuckia unalia na udhaifu huo, mate yatawatoka...watatamani wakulime mapanga mura. Jamii yao hasa kiumeni haiko ivo hatta!

1)Nenda unakoabudu na ukaseme hayo 2)Nenda mahakamani ukaseme hayo,3)Mwambie mkeo na mabint zako hayo coz ndo jamii uliyoitenda, moyo wako utatakata na utakuwa huru. Usiogope watasema nn au utaadhibiwa vp na mahakama...wew confess freely.

Na kwa maajabu ya serkali yetu hii..
usishangae hata baada ya kuwa ume/confess mahakamani...watasema ukapimwe akili. USIPO-CONFESS KWENY HAYO MAENEO NILIYOAINISHA mura, kwel wana jf na wengne watasema UMEPATA VIROBA VYA TANDALE.
 
Siku nyingine unapoamua kuungama uovu wako usijumuishe na watu wengine...yaani usifikirie kwamba kuna wengine wamefanya maovu kama ulivyofanya wewe...Ungama kivyakovyako...

Kusema, "Najua tuko wengi tuliofanya...!!", huko ni kupunguza uzito wa uovu wako...

Hata hivyo, hongera kwa hatua hiyo...
 
Ulifanya yote haya kwa sababu wanazibeba wenzio.

Ila kwa muombe sana m'mungu.
 
Hii laana itahamia kwa mabinti zako. Utatendewa kama ulivyowatenda mabinti wa wenzako na ufalme wa mbingu utafanya kuusikia tu. 1Wakorintho 6:9 "Au hamjui yakuwa wadhalimu hawatauridhi ufalme wa Mungu wala wabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."

wewe ni nani hadi useme hataurithi? Navyojua na ambavyo biblia imeandika, binadamu wote ni wadhambi. Na ndio maana watakaoenda kuurithi uzima wa milele ni wadhambi waliosamehewa baada ya kutubu na wale wa motoni wadhambi wasiosamehewa au kwa kifupi ni wadhambi wasiotubu makosa yao.
 
Exactly kukataa mimba for men & kutoa for ladies ni kuikatili nafsi ambayo damu yake itakuhukumu for the rest of ur life....

Ili kupata amani ya moyo fanya toba ya kweli kwa Mungu atakusamehe na utajisikia uko huru....
 
Haya jamani,naamini kuna baadhi nitawakwaza humu but ndio khali halisi,mama yoyo najua uko humu am sorry kwanza,.
Nakumbuka baada ya kubarehe na kujua nini maana ya papuchi nilizitumia kweli ipasavyo,kutokana na uwezo wa kifedha aliokua nao mzee wangu niliwapanga wadada kwelikweli,tatizo kubwa linalonifanya najihisi vibaya najuta kufanya mauaji mengi sana ya viumbe wasio na hatia,bahati mbaya niliyokua nayo mpaka hivi karibuni nilivyoamua kuacha kila mdada ingawa si wote niliecheza nae bila kinga wengi waliishia kunasa mimba zangu na kwa vile senti zilikuwepo sikupenda kulea au kuwa na mtoto,najisikia vibaya niliwatoa mimba mabinti wengi tu ambao sikumbuki idadi yao,truly ingawa nilijiona kidume na sasa hivi nina familia yangu najihisi guilty kwa matendo yangu hayo,najua tuko wengi humu kinadada na wanaume tuliokwishafanya matukio kama haya najiuliza how do we feel now ukikumbuka hili jambo?me binafsi pamoja ilikua ni ujana najihisi hatia kubwa sana moyoni,kwa wale niliowafanyia kitendo hiki am very sorry,na pia naomba Mungu anisamehe kwa vitendo hivi vibaya.
Wakati tuko wadogo tulikuwa tunadanganyana kwamba, siku ya kiama, kila mwanaume mwili wake utakuwa umebandikwa papuchiz zoooote alizozila isivyo halali... kama kweli, basi mtu wangu kama nakuona hivi wakati mwili wako ulivyopambwa kwa hazina pendwa!!

We bhana, confession yako inatakiwa iende mbali na hapa... kama ni Christian, nenda kaungame kanisani na kama Mwislam nenda kapiga sala ya toba... all in all, fanya vile imani yako inavyosema manake it's too much hasa inapohisha kuchoropoa mimba za kutosha!
 
Hii laana itahamia kwa mabinti zako. Utatendewa kama ulivyowatenda mabinti wa wenzako na ufalme wa mbingu utafanya kuusikia tu. 1Wakorintho 6:9 "Au hamjui yakuwa wadhalimu hawatauridhi ufalme wa Mungu wala wabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."

wewe ni nani hadi umuhukumu mtu?
Mola wetu ni wa upendo na kila mwenye kurudi kwake kwa toba ya kweli Mungu atamsamehe dhambi zake zote.
Acha kabisa tabia ya kuhukumu mtu
 
Nikupongeze kwa kutambua ulifanya kitu kibaya kwa kushiriki kwa namna moja au nyingine kuutoa uhai wa mwanadamu mwenzako. Mtu sio wingi wa nyama au ukubwa wa mwili, Bali mimba ikishwatungwa tayari huyo ni mtu tofauti yake na mtu wa miaka 20 ni ukomavu na ukubwa wa mwili n.k n.k. Japo kuna waliowahi kuadhibiwa na Mungu kwa kutupa mbegu (semen) Hapa kupachimba ni parefu tupaache kwa sasa.

Nikutie moyo kuwa Mungu ni wa huruma, ''1 Yahana 1:8-9 Tukisema kwamba hatuna dhambi, tunajidanganya wenyewe na ukweli haumo ndani yetu. Lakini TUKIZIUNGAMA dhambi zetu, basi Mungu ni Mwaminifu na Mwadilifu, naye atatusamehe zambi zetu na kututakasa na UOVU wote''

Kwa kuwa umetambua na kujuta na kutaka kweli msamaha, Yeye yupo na anawatafuta watu waliopondeka mioyo kama wewe. Huhitaji kwenda kusema kwa jamii kama mdau alivyoshauri hapo juu maana jamii yenyewe haijui na haipaswi kujua maana kuna wengine utawasababishia vidonda vipya visivyo na ulazima na pengine kupoteza zaidi uhalali na nafasi yako maana kwenye jamii yetu yule anayesema ndio anaonekana ni mchafu sana ila wale wa kimya kimya wanaonekana ni wema sana kumbe ni wabaya zaidi pengine.

Mungu ni wa Huruma sana, Tenga muda wako wa kuomba,
kusali na kufunga. Na Zaburi ya 51 ikuongoze na yeyote yule anayependa kufuata njia yako Zaburi ya 51 ni ina vitu vya msingi sana.
 
Haya jamani,naamini kuna baadhi nitawakwaza humu but ndio khali halisi,mama yoyo najua uko humu am sorry kwanza,.
Nakumbuka baada ya kubarehe na kujua nini maana ya papuchi nilizitumia kweli ipasavyo,kutokana na uwezo wa kifedha aliokua nao mzee wangu niliwapanga wadada kwelikweli,tatizo kubwa linalonifanya najihisi vibaya najuta kufanya mauaji mengi sana ya viumbe wasio na hatia,bahati mbaya niliyokua nayo mpaka hivi karibuni nilivyoamua kuacha kila mdada ingawa si wote niliecheza nae bila kinga wengi waliishia kunasa mimba zangu na kwa vile senti zilikuwepo sikupenda kulea au kuwa na mtoto,najisikia vibaya niliwatoa mimba mabinti wengi tu ambao sikumbuki idadi yao,truly ingawa nilijiona kidume na sasa hivi nina familia yangu najihisi guilty kwa matendo yangu hayo,najua tuko wengi humu kinadada na wanaume tuliokwishafanya matukio kama haya najiuliza how do we feel now ukikumbuka hili jambo?me binafsi pamoja ilikua ni ujana najihisi hatia kubwa sana moyoni,kwa wale niliowafanyia kitendo hiki am very sorry,na pia naomba Mungu anisamehe kwa vitendo hivi vibaya.

amen... sasa tenga fungu la kuwa unaenda tembelea watoto waliotupwa na mama zao na yatima ili kuona kuwa ni ile idadi uliyoitupa ardhini kuifanya mbolea ..
 
Haya jamani,naamini kuna baadhi nitawakwaza humu but ndio khali halisi,mama yoyo najua uko humu am sorry kwanza,.
Nakumbuka baada ya kubarehe na kujua nini maana ya papuchi nilizitumia kweli ipasavyo,kutokana na uwezo wa kifedha aliokua nao mzee wangu niliwapanga wadada kwelikweli,tatizo kubwa linalonifanya najihisi vibaya najuta kufanya mauaji mengi sana ya viumbe wasio na hatia,bahati mbaya niliyokua nayo mpaka hivi karibuni nilivyoamua kuacha kila mdada ingawa si wote niliecheza nae bila kinga wengi waliishia kunasa mimba zangu na kwa vile senti zilikuwepo sikupenda kulea au kuwa na mtoto,najisikia vibaya niliwatoa mimba mabinti wengi tu ambao sikumbuki idadi yao,truly ingawa nilijiona kidume na sasa hivi nina familia yangu najihisi guilty kwa matendo yangu hayo,najua tuko wengi humu kinadada na wanaume tuliokwishafanya matukio kama haya najiuliza how do we feel now ukikumbuka hili jambo?me binafsi pamoja ilikua ni ujana najihisi hatia kubwa sana moyoni,kwa wale niliowafanyia kitendo hiki am very sorry,na pia naomba Mungu anisamehe kwa vitendo hivi vibaya.

Kula ujana raha kuumeza uzee shubiri......
 
Hii laana itahamia kwa mabinti zako. Utatendewa kama ulivyowatenda mabinti wa wenzako na ufalme wa mbingu utafanya kuusikia tu. 1Wakorintho 6:9 "Au hamjui yakuwa wadhalimu hawatauridhi ufalme wa Mungu wala wabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."

mm nafikiri maandiko yanasema kwel lakin akitubu kwel na kuacha atasamehewa.
 
Back
Top Bottom