victor moshi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 829
- 1,064
Haya jamani,naamini kuna baadhi nitawakwaza humu but ndio khali halisi,mama yoyo najua uko humu am sorry kwanza,.
Nakumbuka baada ya kubarehe na kujua nini maana ya papuchi nilizitumia kweli ipasavyo,kutokana na uwezo wa kifedha aliokua nao mzee wangu niliwapanga wadada kwelikweli,tatizo kubwa linalonifanya najihisi vibaya najuta kufanya mauaji mengi sana ya viumbe wasio na hatia,bahati mbaya niliyokua nayo mpaka hivi karibuni nilivyoamua kuacha kila mdada ingawa si wote niliecheza nae bila kinga wengi waliishia kunasa mimba zangu na kwa vile senti zilikuwepo sikupenda kulea au kuwa na mtoto,najisikia vibaya niliwatoa mimba mabinti wengi tu ambao sikumbuki idadi yao,truly ingawa nilijiona kidume na sasa hivi nina familia yangu najihisi guilty kwa matendo yangu hayo,najua tuko wengi humu kinadada na wanaume tuliokwishafanya matukio kama haya najiuliza how do we feel now ukikumbuka hili jambo?me binafsi pamoja ilikua ni ujana najihisi hatia kubwa sana moyoni,kwa wale niliowafanyia kitendo hiki am very sorry,na pia naomba Mungu anisamehe kwa vitendo hivi vibaya.
Boraaa mkuuu umetemaa sumu......ilaaa tumekuelewaaa........katubuuu kwa mungu wakoo....atakusamehe kabisaaa...coz huyoo dhambi nimbayaa Sana'a. Ina kula familia a ...watoto wako wanwezakuja kua Kama wewe