Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,980
Hongera sana na Karibu sana Mkubwa. Uamuzi wa msingi na wa busara saana. Angalia hapa chini
Ufunuo wa Yohana 2:5 ''Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu''
Kila la kheri kaka.

Ahsante mkuu nimekusoma na kukuelewa deeply na nitayafanyia kazi.