Safina
JF-Expert Member
- Jun 18, 2009
- 497
- 65
bado haujapata dushelele ya maana!amabayo ikikuingia tu lazima umeze mate kwanza,mbona utatembea uchi?
teh! teh! teh! My dia umenichekeshaje? kweli jf kuna mambo. Eti akipata dushelele ya maana lazima ameze mate kwanza na atatembea uchi? Jamani jamani, kwa hiyo watu wote hawajawahi kupata dushelele za maana? Mbona sijaona wanaotembea uchi. Au ndo wale wanaovaa vya mbanoooooooooo!! Ndio uchi unayomaanisha au unamanisha nini weye?