Najishangaaaaaaaa! Was it all about SEX?

Toka nilipoacha SEX, Najikuta tabia yangu inaenda inabadilika, hasa kimuonekano na tabia.
Wakati sijajiwekea STOP kwenyes sex nilikuwa so charming, so loving and so sexy hadi mwenyewe
nilikuwa najionea huruma vile nilikuwa so sexy. Saizi automatikale najikuta nimebadilisha wardrobe yangu,
navaa magauni more, suruali za kulegea kidogo hasa za vitambaa ambazo nilikuwa sizikubali
na tops za kuenda na mwili wangu, navaa na skirt max na the like. Najikuta navaa decent and it feels good.

Nimekuwa na kiburi, na pozi wala hata sio makusudi nimejikuta tu! Naona taabu ninaposemeshwa
kwa nia ya kutaka nitongoza hali nilikuwa napenda na kuchekelea kwel kwel, now mtu akinisemesha
iwe ya msingi na kwa nia njema hapo tunafika. Nimegundua wanaume wamekuwa waoga kidogo kwangu,
yaani anapokuja lazima aje kwa gia! Muuza bucha na muuza sumu ya panya wapi na wapi?? teh teh teh
I feel so good, am doin a lot of slavebation. lyf is good.
Natumia mda mfupi zaidi kwenye kioo siku nzima, na nguo ninazo vaa zipo so comfy!
Ndio nimebaki najishangaaa, vaa yangu huko nyuma was it all about sex?? Ajabu sana mazee!
Ili munielewe nawawekea before na after nguo ambazo nilikuwa navaa…..

Leo nilivaa hivi. mnaona nilivo pendeza? nakwambieni mbona mtanitaka! teh teh teh. ila mimi sitaki.:nono::nono::nono:

4923307676_7b89a62a7e.jpg

zamani mavazi ya kutokea nilikuwa navaa hivi. beyonce aliomba mshono kwangu. picha zangu za hivo nimechana.

Helen-pretty-ankara-styles_500.jpg

Kaunga uko wapi? i nid ur hug mamito. come this way..................

Mwaaaaaah! I feel Great. :majani7:
Ilikuwa ni utoto sasa umekua!.
Si ulishawahi sikia " NI UTOTO TU AKIKUA ATACHA".
 
Smile nilikuwa sikuelewag mamito. kumbe ukimegwa ukaacha hata kama

una ji do una qualify kuwa bk? basi sitakusaliti kiongozi.
eva faithful virgin. hadi nitapopata mume.

Erotica, kumbe ndo yanayoendelea nyuma ya pazia. Mzima lakini?
 
Last edited by a moderator:
Smile nilikuwa sikuelewag mamito. kumbe ukimegwa ukaacha hata kama

una ji do una qualify kuwa bk? basi sitakusaliti kiongozi. eva faithful virgin. hadi nitapopata mume.

Usagaji huanza huwa unaanza kwa mtindo huu huu! nakumbuka Prof Shivji siku moja wakati tunaadhimisha siku ya Walter Rodney-Mzee wa how Europe underdeveloped Africa, aliwahi kusema kwamba 'the road to hell is paved with good intentions'.
 
Majuto mtu hujuta maafa yanapomkuta...........hebu wengine enedelezeni haka kamwimbo ka OSS!
 
Toka nilipoacha SEX, Najikuta tabia yangu inaenda inabadilika, hasa kimuonekano na tabia.
Wakati sijajiwekea STOP kwenyes sex nilikuwa so charming, so loving and so sexy hadi mwenyewe
nilikuwa najionea huruma vile nilikuwa so sexy. Saizi automatikale najikuta nimebadilisha wardrobe yangu,
navaa magauni more, suruali za kulegea kidogo hasa za vitambaa ambazo nilikuwa sizikubali
na tops za kuenda na mwili wangu, navaa na skirt max na the like. Najikuta navaa decent and it feels good.

Nimekuwa na kiburi, na pozi wala hata sio makusudi nimejikuta tu! Naona taabu ninaposemeshwa
kwa nia ya kutaka nitongoza hali nilikuwa napenda na kuchekelea kwel kwel, now mtu akinisemesha
iwe ya msingi na kwa nia njema hapo tunafika. Nimegundua wanaume wamekuwa waoga kidogo kwangu,
yaani anapokuja lazima aje kwa gia! Muuza bucha na muuza sumu ya panya wapi na wapi?? teh teh teh
I feel so good, am doin a lot of slavebation. lyf is good.
Natumia mda mfupi zaidi kwenye kioo siku nzima, na nguo ninazo vaa zipo so comfy!
Ndio nimebaki najishangaaa, vaa yangu huko nyuma was it all about sex?? Ajabu sana mazee!
Ili munielewe nawawekea before na after nguo ambazo nilikuwa navaa…..

Leo nilivaa hivi. mnaona nilivo pendeza? nakwambieni mbona mtanitaka! teh teh teh. ila mimi sitaki.:nono::nono::nono:

4923307676_7b89a62a7e.jpg

zamani mavazi ya kutokea nilikuwa navaa hivi. beyonce aliomba mshono kwangu. picha zangu za hivo nimechana.

Helen-pretty-ankara-styles_500.jpg

Kaunga uko wapi? i nid ur hug mamito. come this way..................

Mwaaaaaah! I feel Great. :majani7:
Najisikia kuua tena...........
 
nenda kasome lamarkism "Lamarck incorporated two ideas into his theory of evolution, in his day considered to be generally true:

  1. Use and disuse – Individuals lose characteristics they do not require (or use) and develop characteristics that are useful.
  2. Inheritance of acquired traits – Individuals inherit the traits of their ancestors.
........................."itakuasaidia kujua kosa unalolifanya na kwa nini ujinyime raha au ulibakwa?angalia isije ikapotea kabisa unashangaa pa kuingizia pamefutika imebaki sehemu ya haja ndogo tu
 
Back
Top Bottom