Najishangaaaaaaaa! Was it all about SEX?

Erotica

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
2,513
1,735
Toka nilipoacha SEX, Najikuta tabia yangu inaenda inabadilika, hasa kimuonekano na tabia.
Wakati sijajiwekea STOP kwenyes sex nilikuwa so charming, so loving and so sexy hadi mwenyewe
nilikuwa najionea huruma vile nilikuwa so sexy. Saizi automatikale najikuta nimebadilisha wardrobe yangu,
navaa magauni more, suruali za kulegea kidogo hasa za vitambaa ambazo nilikuwa sizikubali
na tops za kuenda na mwili wangu, navaa na skirt max na the like. Najikuta navaa decent and it feels good.

Nimekuwa na kiburi, na pozi wala hata sio makusudi nimejikuta tu! Naona taabu ninaposemeshwa
kwa nia ya kutaka nitongoza hali nilikuwa napenda na kuchekelea kwel kwel, now mtu akinisemesha
iwe ya msingi na kwa nia njema hapo tunafika. Nimegundua wanaume wamekuwa waoga kidogo kwangu,
yaani anapokuja lazima aje kwa gia! Muuza bucha na muuza sumu ya panya wapi na wapi?? teh teh teh
I feel so good, am doin a lot of slavebation. lyf is good.
Natumia mda mfupi zaidi kwenye kioo siku nzima, na nguo ninazo vaa zipo so comfy!
Ndio nimebaki najishangaaa, vaa yangu huko nyuma was it all about sex?? Ajabu sana mazee!
Ili munielewe nawawekea before na after nguo ambazo nilikuwa navaa…..

Leo nilivaa hivi. mnaona nilivo pendeza? nakwambieni mbona mtanitaka! teh teh teh. ila mimi sitaki.:nono::nono::nono:

4923307676_7b89a62a7e.jpg


zamani mavazi ya kutokea nilikuwa navaa hivi. beyonce aliomba mshono kwangu. picha zangu za hivo nimechana.

Helen-pretty-ankara-styles_500.jpg


Kaunga uko wapi? i nid ur hug mamito. come this way..................

Mwaaaaaah! I feel Great. :majani7:
 
There are some people that don't deserve your love, they don't deserve your affection, they don't deserve your time, they don't respect you, they're not loyal to you, they don't have your best interest at heart. Stop giving them what they w...ant, stop allowing yourself to be a doormat. You're the only one making love, he is just taking. Stop deceiving yourself, this does not get better.
 
Mbona unaweka picha za wenzako? weka zako tuone kama kweli uyasemayo, pengine ni mkorogo na nywele za maiti kwa kwenda mbele.
 
Mbona unaweka picha za wenzako? weka zako tuone kama kweli uyasemayo, pengine ni mkorogo na nywele za maiti kwa kwenda mbele.


Mbona wewe umeweka ya JK au wewe ndie JK?
 
bado haujapata dushelele ya maana!amabayo ikikuingia tu lazima umeze mate kwanza,mbona utatembea uchi?
 
Back
Top Bottom