Najishangaaaaaaaa! Was it all about SEX?

Kwa kuwa umekiri mwenyewe kuwa zamani mtu akikufuata kwa nia ya kukutongoza ulikuwa unafurahia na kuchekelea, basi una haki ya kupiga STOP maana utakuwa ushatumia hicho kiungo mpaka umekinai. Na ni vizuri kujipa break kidogo maana najua huwezi piga stop milele. Utalegea tu maana huwezi shindana na natural forces.
 
bado haujapata dushelele ya maana!amabayo ikikuingia tu lazima umeze mate kwanza,mbona utatembea uchi?

chelsea fc nimefunga sex kwenye namba 29, hao wote

unaona hakuwepo huyo mtu? kamtishe nyau mazee!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa umekiri mwenyewe kuwa zamani mtu akikufuata kwa nia ya kukutongoza ulikuwa unafurahia na kuchekelea, basi una haki ya kupiga STOP maana utakuwa ushatumia hicho kiungo mpaka umekinai. Na ni vizuri kujipa break kidogo maana najua huwezi piga stop milele. Utalegea tu maana huwezi shindana na natural forces.

natural forces ndio zipi hizo?
 
wallah Erotica nilikuwa najiuliza wiki hii mbona sikusomi? kumbe ndio ulikuwa unachonga desa uje edese nalo huku! haya mama kazi kwako!
 
Last edited by a moderator:
wallah Erotica nilikuwa najiuliza wiki hii mbona sikusomi? kumbe ndio ulikuwa unachonga desa uje edese nalo huku! haya mama kazi kwako!

mamito cacico mbona unanidondosha? nimedesa nini tena? mwaaaaah. nilikumiso.
 
Last edited by a moderator:
uamuzi mzuri sana MUNGU AKUBARIKI NDo KURINGIA KUWA MWANAMKE ila story ya ukweli au ulitaka kutuonyesha mshono
 
mamito cacico mbona unanidondosha? nimedesa nini tena? mwaaaaah. nilikumiso.
Erotica si hizo picha?? nilitaka uweke zako original bwana! niPM basi original nimfowardie kaka yangu kimanzi chana, ye mwenyewe kafikisha idadi sasa yu ataka mke! lol1
 
Last edited by a moderator:
Erotica, any one can be good if he/she chooses to be! If women would have known their value they would always put themselves high and special!

A woman who knows that she is a woman and decides to be one can move the world! Just be good Ero. . and the store has a lot for u!
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom