Najiona mjinga sana

Najiona mjinga sana

tunu pekee ambayo mwenyezi mungu ametujaalia ni nguvu ya ushawishi kwenu KE ..kwa hiyo usijilaumu sana ni nguvu ya asili tuliyonayo...na ujinga ni sehemu ya maisha yenu wanawake....kwa hiyo imeplay your part...
 
Wala ata ucjione zunte rafk angu Kama ulibakwa Apo sawa ila Kama uli enjoy mbona fresh tu hehehe maisha yaendeleee we umekulwa mala 3 unajiona mjinga je ungejikuta na HIV je ??? Tafakari chukua hatua

LOVE ABOVE ALL
 
Ili roho yako Iwe sawa inabid umtafute tena naww umle Mara tatu hapo ngoma droo 😀 😀 😀 sijui utamlaje kaz kwako
 
Najiona mjinga sana tena nisiyefaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hivi nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikuwa anaoneka mtu anayejiheshimu na mpole kumbe upole umeficha mengi

Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kaniapproach tumekuwa katika uhusiano wa mwezi mmoja tu na umevunjika...Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu

Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hivi due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mimi ni mjinga sana...

Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku
Yaani umeliwa isee kama marinda yakp salama usijali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mjinga tu,yaani we ni boya kabisaaa,utajirahisishaje hivyo,kakuona ndio wale wale kama wa corner bar
 
Sister hapo hukuwahi kumpenda ila na ww ulikuwa umemtamani tu na ndo maana ilikuwa rahisi tu kucheza ka mchezo zaid ya mara mbili tena ndani ya mwezi mmoja .. Aisee unabalaa
 
Back
Top Bottom