Najiona mjinga sana

Najiona mjinga sana

kulana mbona kawaidaaaa,kinachouma akikuachia ukimwii
 
Unajutia nini akati umepata exprience ya kutosha endelea kuongeza ufanisi, au aliondoka na kidude!
Wenzie wanatoa mpaka Tigo na bado wanaachwa sembuse yeye ni nani

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Wenzie wanatoa mpaka Tigo na bado wanaachwa sembuse yeye ni nani

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
UTAKUTA KATOA NA HIYO HAHAHA NDO MAANA MJUTO MWINGI.
 
ukimpata na rafiki mwingine mpe utakua mjanja
 
Najiona mjinga sana tena nisiyefaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hivi nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikuwa anaoneka mtu anayejiheshimu na mpole kumbe upole umeficha mengi

Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kaniapproach tumekuwa katika uhusiano wa mwezi mmoja tu na umevunjika...Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu

Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hivi due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mimi ni mjinga sana...

Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku
Ndio nn kuamua kunitangaza.....??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom