Najiona mjinga sana

Najiona mjinga sana

nadhani umepata fundisho,,,sisi tunaokutongoza mitandaoni unatuona hatuana busara mmmseewww,,,wakat ndo watulivu... endelea kutafuta wapole
 
Najiona mjinga sana tena nisiyefaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hivi nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikuwa anaoneka mtu anayejiheshimu na mpole kumbe upole umeficha mengi

Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kaniapproach tumekuwa katika uhusiano wa mwezi mmoja tu na umevunjika...Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu

Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hivi due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mimi ni mjinga sana...

Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku

Umesema amekukula 3 times??
That's negligible haifiki 5 ambayo ni nusu ya mitafuno 10.

Pole mkuu, ukitaka kula lazima ukubali kuliwa, sasa wewe unataka kula bila kuliwa?, Haiwezekani ~by mzee wa Msoga.

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Najiona mjinga sana tena nisiyefaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hivi nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikuwa anaoneka mtu anayejiheshimu na mpole kumbe upole umeficha mengi

Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kaniapproach tumekuwa katika uhusiano wa mwezi mmoja tu na umevunjika...Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu

Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hivi due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mimi ni mjinga sana...

Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku
Kama umeliwa basi kakuongezea cv una experience ya kutosha sasa!
 
lady in action kamwe usijichukie hivi ni vitu vinavyowakuta wasichana na wavulana wengi kuingia ktk mahusiano na mtu usiemjua undani wake ni ttz tena kubwa. kinachotakiwa usahau na uendelee na mmb yako ya kuengeza kipato chako hii itakulunguzia machungu pia itakufanya ujiamin zaid baada ya kosa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli we ni mjinga... sasa baada ya kugundua ana wanawake wengi s ndio ilkua chance ya kumpa vitu kumfanya awe wako pekee? Au unafkr anaanza tu kua wako hiv hiv, watu wenyewe mko wengi hadi wengine mnashnda sokon na bango kua mnatafuta mme, tumia akili kua mvumbuz na umfanye awe wako tu milele....

Sent using Jamii Forums mobile app
Eh wewe em Acha kudanganya mabinti... Mwanaume anatulia mwenyewe akitaka...sishauri mtu apambane kumtuliza mwanaume ur not happy mpige chini over
 
Eh wewe em Acha kudanganya mabinti... Mwanaume anatulia mwenyewe akitaka...sishauri mtu apambane kumtuliza mwanaume ur not happy mpige chini over
Mwanaume yeyote yule n fala na mjinga mbele ya mwanamke hana makubwa akifika apo
 
Mimi huwa natoa kwa kuenjoy nipate utamu basi. Huwa si demand chochote in return
Hlf wanawake km nyie mnagandwa km luba na wanaume sema mnazikimbia ndoa wenyewe, hlf wale wa kuhesabu na kuvizia ndoa ni vilio daily
 
Back
Top Bottom