Najiona mjinga sana

Najiona mjinga sana

Usijiingize mzima mzima kwenye mapenzi wakt bado hujamjua mtu....mwezi ni mdogo sana kusex nae mtu kam huyo ungemgundua mapema tu. ungemnyima tu angeshasepa mana alikua hakupenda
Nb.usipende kujirahisisha hata kam umempenda vip mtu
Ww kwako tunachukua mda gani tujiandae!
 
Amedunguliwa mara talaa

lkn wapo wengi humu sio peke yako

wamedonyolewa mwezi mzima kama

sio mwaka
 
Hiyo ni public good, it is non consumption by one does not prevent another from consuming it
 
ha ha ha basi akutafute umtibie ili kirudi hahaaa! hizi girlish staffs zinakeraga eti anajutia...anajutia kupata utamu hahaaaa
Akiwa mwanamke ataelewa...kwa sasa muache autumie 'u-girl' wake vema!
 
Ladies tabia ya kuingia katika mahusiano with too much expectations muache.

Take it easy, relax and enjoy the ride.

If it doesn't work out si basi.

Usijiumize unnecessarily.
 
Najiona mjinga sana tena nisiyefaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hivi nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikuwa anaoneka mtu anayejiheshimu na mpole kumbe upole umeficha mengi

Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kaniapproach tumekuwa katika uhusiano wa mwezi mmoja tu na umevunjika...Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu

Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hivi due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mimi ni mjinga sana...

Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku
🙄🙄🙄🙄
 
Kapime moto maana najua mlikula dry,maaana ni principal kuwa;ukimpenda,umemumini.
Thereafter kapime afya+rudi kwa mungu wako utubie kwa kosa ulilofanya.
A master of disaster 87


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom