Wanaume ukishawapa papuchi jiandae kisaikolojia.Najiona mjinga sana tena nisiyefaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hivi nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikuwa anaoneka mtu anayejiheshimu na mpole kumbe upole umeficha mengi
Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kaniapproach tumekuwa katika uhusiano wa mwezi mmoja tu na umevunjika...Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu
Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hivi due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mimi ni mjinga sana...
Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku
Katika kosa kubwa wanawake huwa mnalifanya bila kujua ni kuwapa wanaume miili yenu kama zawadi ukinzani kwamba ndio atakupenda zaidi, lakini katika akili zetu sisi wanaume inatuambia kuwa huyu ni malaya.Kawaida
Kwahiyo Raimundo ndo alikukula au ulimu-assist??Najiona mjinga sana tena nisiyefaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hivi nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikuwa anaoneka mtu anayejiheshimu na mpole kumbe upole umeficha mengi
Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kaniapproach tumekuwa katika uhusiano wa mwezi mmoja tu na umevunjika...Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu
Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hivi due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mimi ni mjinga sana...
Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku
Asante aiseePole sana.
Ila naomba usijilaumu, hukujua hata ww ndiyo maana ukajikuta umeungia kwenye mahusiano. Usijione mkosaji sbb mapenzi yana mambo mengi sana mazuri na mabaya.
Chukulia hili ni funzo la kukufungua macho. Uzuri au upole wa mtu haumfanyi mtu kuwa na true love. Ili kuepukana na upweke huu. Sikiliza muziki na changamana na watu. Ukipata movie zile za mr bean, charlie chapline, na zingine za vichekesho itakusaidia sana.
Pole, mapenzi ndiyo yalivyo. Najua umejisikia vibaya ila next time itakuweka pazuri sana.
Acha tu ndugu yaan naona aibu hata kwa watu walie niona nae...watanifikiriaje?Pole sana, wewe ulimuona mpole na mstaarabu kumbe ilikua ni chambo cha kukupanua paja..
Kweli bora tuu ujidharau.!!!
Asante mamyPole sana.
Usijali my dear fanya mambo mengine wala hakuna haja ya kujidharau haikuwa bahati yako mwaya , mana huyo alikuwa cha wote.Asante mamy
Acha tu ndugu yaan naona aibu hata kwa watu walie niona nae...watanifikiriaje?
Tunaanzisha mahusiano kwa nia njema kbsa na lengo ni kuwa mume na mke. Ila hutokea kinyume kwasbb hatujui kilichomo ndani ya mioyo ya wapenzi wetu. Inauma lkn haina jinsi, na huo ndiyo ukweli.Asante aisee
Mwezi mmoja, ameshakukula mara 3(Ukizingatia kuna zile siku za hedhi), atakua amepiga hesabu hadi kuja kukuoa utakua umechoka sana.

mna maneno walimwenguSio mkopo mamy kwenye kutoa siwez kumsema vibaya anaroho ya utoaji ila mh!!!kuliwa kwa mkopo kunauma sana