Najiona mjinga sana

Najiona mjinga sana

Kweli we ni mjinga... sasa baada ya kugundua ana wanawake wengi s ndio ilkua chance ya kumpa vitu kumfanya awe wako pekee? Au unafkr anaanza tu kua wako hiv hiv, watu wenyewe mko wengi hadi wengine mnashnda sokon na bango kua mnatafuta mme, tumia akili kua mvumbuz na umfanye awe wako tu milele....

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu umenena vyema sana nadhani atakuwa amekuelewa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najiona mjinga sana tena nisi efaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hv nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikua anaoneka mtu anaejiheshim na mpole kumbe upole umeficha mengi
Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kani approach tumekua ktika uhusiano wa mwez mmoja tu na umevunjika...
Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu
Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hv due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mi ni mjinga sana...

Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku
Pole sana.
Ila naomba usijilaumu, hukujua hata ww ndiyo maana ukajikuta umeungia kwenye mahusiano. Usijione mkosaji sbb mapenzi yana mambo mengi sana mazuri na mabaya.
Chukulia hili ni funzo la kukufungua macho. Uzuri au upole wa mtu haumfanyi mtu kuwa na true love. Ili kuepukana na upweke huu. Sikiliza muziki na changamana na watu. Ukipata movie zile za mr bean, charlie chapline, na zingine za vichekesho itakusaidia sana.
Pole, mapenzi ndiyo yalivyo. Najua umejisikia vibaya ila next time itakuweka pazuri sana.
 
Najiona mjinga sana tena nisi efaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hv nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikua anaoneka mtu anaejiheshim na mpole kumbe upole umeficha mengi
Basi bwana kumbe jamaa aligundua nampenda akawa kani approach tumekua ktika uhusiano wa mwez mmoja tu na umevunjika...
Nimegundua ni muongo muongo,,,, anawanawake wengi nimeamua kuuvunja uhusiano huu
Kinachoniuma kanikula kama Mara 3 hv due!!! yaan najizarau sana,,,najichukia kupita kawaida in short mi ni mjinga sana...

Cc Raimundo.. Ndugu yangu nisha angukia pua huku
Unaonaje ukimuonjesha utamu na Raimundo kama Mara 3 hivi?
 
Usijiingize mzima mzima kwenye mapenzi wakt bado hujamjua mtu....mwezi ni mdogo sana kusex nae mtu kam huyo ungemgundua mapema tu. ungemnyima tu angeshasepa mana alikua hakupenda
Nb.usipende kujirahisisha hata kam umempenda vip mtu
 
Nimefurahi amekukula mara 3 haraka haraka kama anakimbiza mwizi... ntamwambia next time akupige kachabali utatulia... hahah🙄🙄 😀 😉
 
Pole sana, wewe ulimuona mpole na mstaarabu kumbe ilikua ni chambo cha kukupanua paja..

Kweli bora tuu ujidharau.!!!
 
Usijiingize mzima mzima kwenye mapenzi wakt bado hujamjua mtu....mwezi ni mdogo sana kusex nae mtu kam huyo ungemgundua mapema tu. ungemnyima tu angeshasepa mana alikua hakupenda
Nb.usipende kujirahisisha hata kam umempenda vip mtu
Lengo la kuombana ni kupeana sijui mnalenga nini msemapo usijirahisi ni bola kumpa mtu makavu kuliko kumringia kwanza hafu ndo umpe
 
Shukuru Mungu unajiona mjinga, kwani mjinga anaweza kuelimishwa. Wakati mpumbavu huyo piga ua hataelimika ng`o!.

"Mwalimu Nyerere (RIP), alisema tofauti kati ya mjinga na mpumbavu ni kwamba mjinga unaweza kumuelemisha akawa mtu bora lakini mpumbavu huwezi. Mpumbavu ni sawa na jinsi mtu alivozaliwa, mrefu au mfupi, huwezi kubadilisha hili".
 
Back
Top Bottom