Najilipua: Kama noma na iwe noma

Kwanza nikupe hongera kijana kwa kufanya maamuzi,kama umempata right person utajuta kwa nini hukuoa miaka kumi iliyopita!Bei za pete inategemea bajeti yako,kuanzia laki na nusu hivi mpaka mamilioni ya shilingi kutegemea unataka ya uzito gani na aina gani(silver,gold,tanzanite,e.t.c),lakini medium laki 3 na nusu hivi nne(kwa gold) zinatosha kwa watu wa kawaida.
Ni vizuri uende na huyo mchumba wako ili achague pete anayoipenda,unajua hiyo ni ya kuvaa kila siku maisha yake yote,so ukimletea kitu hapendi atateseka kuivaa isitoshe pia ni lazima afanye fitting kuona kama inamtosha!Unaweza mnunulia pete hata ya milioni 2 lakini hasiipende yeye akata pete ya laki 3!Pia bajeti yako kama inatosha mnaweza nunua pete zote hadi za ndoa kwa wakati mmoja,hii itakusaidia kupunguziwa bei lakini pia kukuweka huru ,kipindi cha maandalizi ya harusi si mchezo!Best wishes,utulie sasa karibu unakuwa baba

Ahsante sana kaka Sungura! Ntafanya hivyo mkuu!
 
How u doing fellas!
First and far most I have been telling myself I should wait for the right time for so long and all I can see everyday is am not ready yet. I am now convinced that there will never be a right time rather will be a right decision! So I go for the right decision and f**k the right time!
Nisiwachose sana nimeamua kuiaga rasmi kambi ya ukapera na sasa ndo nipo kwenye mchakato huo my mind and strength are all dedicated to this if all goes well come February next year ntakuwa naenda kujitambulisha na kufanya michakato ya mahari.
Kwa nn ninawashirikisha katika hili? Nahitajia ushauri wenu muhimu kwani siku ntakayo jitambulisha ndo siku pia ntamvisha huyu bibie ile pete ya uchumba! Believe me katika hili I don't have a clue wapi ntaipata? Gharama yake ikoje na even size zinakuwaje! So ntashukuru sana mchango wenu katika hili! MMU is my another family and I believe I will get all the help I need in ths! appreciate every mchango from you guyz!

Don't just don't :hand:

Njoo tu ndugu,ila wenzako twatamani kutoka

:ballchain:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom