Utakuwa labda una plans kubwa kubwaa kimaisha ila huna hata mkakati mmoja serious wa kufikia malengo yako zaidi ya kuota au kuwaza tu hayo mafanikio unayotaka kwa muda mrefu huku umri unakwenda kasi, hivyo ikiwa mafanikio yako unayowazia ni kuwa na biashara kubwa, au kujenga nyumba kubwa na nzuri au kuolewa na mwanaume wa ndoto yako etc. na time inaenda huoni chochote sbb huna any strategic approach kufanikiwa ndio akili yako inaanza hayo makirikiri na moyo unapokea na kuanza kukata tamaa.. Hiyo ndio dalili mbaya maishani, kukata tamaa. Sbb kuu sijui yako ni ipi, ila hizo ndio dalili za kuona huna mwelekeo, yaani umeanza kukata tamaa kabisa. Think first wapi umekwama, kuna kitu, sisi wote hatukijui, ni ww tu unakijua