Najikuta nina stress kupindukia

Najikuta nina stress kupindukia

Pole mpendwa...hali Kama hiyo hutokea kikubwa ni kutafuta utatuzi wenye afya ili uweze kutoka katika hali hiyo..usifikirie kujitoa uhai bado una thamani Sana..Kama unajisikia kulia lia walau itasaidia kupunguza yaliyo moyoni.
 
Inawezekanaje mtu aanze tu kulia bila sababu!??
 
Siku za hivi karibuni najiona ovyo, sina amani ndani ya moyo, muda mwingine najiuliza kwanini nilizaliwa hapa duniani.

Kuna muda machozi yananitoka ndo najihisi angalau mtu.

Nimekuwa mnyonge, hata kazini huwa akili yangu haipo serious, muda mwingine najihisi kuondoa uhai wangu.

Nimekuwa na hasira, muda mwingine huwa natumia lugha mbaya kwa wanaume wanao ni-aproach.

Naombeni ushauri tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app

TAFADHALI cutelove SOMA HAPA
Sonona (Depression): Jinsi ya kupambana nayo na kumsaidia mwathirika

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako
Aisee..... (siku za hivi karibuni) Hii ni kabla au baada ya COVID 19
 
Mimi kuna kipindi nilitaka kuvurugwa kama mwezi hivi.

Sikumoja Thanks God, nikakaa nikajiuliza what the fu* *- kn hell is this??????.

Nikagundua nimatatizo ya hovyotu, pesa napata tena inayozidi mboga ila matumizi ndio napitiliza mbaka malengo yangu hayatimii ndionikawa naanza kama kuwa na changa nyikiwa na mahasira tu.

Kilicho nishtua yani ninaporudi home eti na kuwa nahasiratu mbaka kwa mwanangu!!!!!.
Wife nae akaanza kuniogopa ndionikajigundua ninashida.

Nikapiga hesabu nikaona majukumu niliyo jitwisha mbali na familiayangu ndio yananiponza.
Maana natumia kipatochangu katika mwezi karibia % 60 kusaidia ndugu, yani ukiona cm tu nipesa inahitajika tena katika tatizo gumu ambalo lazima usaidie.

Nikawa natoatu, sasa wife sazingine nashindwa kumwambia mana ilikuwa tumachi.
Ndio nikawa na mawazo mana niligeuka mtunza familika karibia 4 hivi.

From that day nikasema familia yangu ndio furahayangu.
The same day nika ignore simu tatu kutoka mikoa tofauti kwa ndugu zangu kabisa.

Nikaenda kununua zawadi ya mwanangu na wife, mana nilikuwa na banwa huwezi amini nashindwa hata kumnunulia mtoto zawadi daah.

Nilipofika home nikawaonyesha tukafurahi pamoja.
Wife usiku akaniuliza kwani wewe alikuwa na shida gani mbona nilikuwa sikuelewi.
Nikamuambia we achatu na sijamuambia chochote mbakaleo.

Angalizo,

Tuache kujibambika majukumu yasiyo tuhusu wanao kutegemea wakiona hawapati sapoti wataanza kujituma kivyao.

Misaada ikizidi wanabweteka wanajuwa wewe upo.

Mambo yakiharibika wewe unapambana kivyako na ukifa wao maisha yanaendelea.

Life is too short , ishi maisha yako saidia kwa kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku za hivi karibuni najiona ovyo, sina amani ndani ya moyo, muda mwingine najiuliza kwanini nilizaliwa hapa duniani.

Kuna muda machozi yananitoka ndo najihisi angalau mtu.

Nimekuwa mnyonge, hata kazini huwa akili yangu haipo serious, muda mwingine najihisi kuondoa uhai wangu.

Nimekuwa na hasira, muda mwingine huwa natumia lugha mbaya kwa wanaume wanao ni-aproach.

Naombeni ushauri tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app

TAFADHALI cutelove SOMA HAPA
Sonona (Depression): Jinsi ya kupambana nayo na kumsaidia mwathirika

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako
Unatumia nyama
 
Kapime kiwango cha sumu ulichonacho mwilini.Sumu mwilini sababu ya kula Sana nyama uleta Sana hasira na stress
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom