Najihisi kuchanganyikiwa....

Mmh pole sana ndio dunia hiyo mama mtu anaweza kusoma asielimike.

Pia ni chansi nzuri ya kujitangaza, wajasiriamali nafasi hiyo wazi
 
Wala sijakublock. Nimefanya hivi ili tu unimiss.
 
Reactions: ram
aisee ukiendelea hivyo wanaume watakutenda sana hadi umlaumu Mungu kukuumba mwanamke, uwe unaingia nusu kwanza then nusu nyingine utaimalizia vikao vya harusi vikianza

Hahahah JF kiboko!
Kwani vikao vya harus vikianza ndo uhakika wa ndoa?!
 
Kama mambo kibao unafanya nn hapa?Hebu usinitibue ww tayari nishachafukwa na akili tangia hapo!

Haha! Kweli akili imechafuliwa... pole aisee, ndo ukubwa huo (mimi natania tu ili upunguze machungu kidogo )
 
acha wendawazimu...we wa wap ndugu,utampendaje mtu usiye wahi hata kumuona kwa macho et aje kuwa mtarajiwa wako?kweli nimeamin mjin shule wewe umekuja na madaftari aisee!
 
Sawa dada kingasti nimekusikia!
 

Duh...hayo sio mapenzi dada, UNAPENDA USIYEMJUA???? alafu yawezekana alikudanganya ye ni mjane ili akumege ki mbali mbali sasa kaona unasogea sana karibu na mkewe anaweza jua so kaghairi.
 
Unanichanganya Mkaka halafu ni Mjane ana watoto wawili?

Mapenzi yanautesa moyo wee - Belle9
 
He actually mentioned that i am the perfect match for him!:disapointed:

Ladies kwanini hamjifunzi haaa "words are nothing" !! I can Say I LOVE YOU SO MUCH ama You are the right choice for me.....bt I dont mean it (unafikiri asingesema hivyo ungempa moyo wako kirahisi, sasa kama you are the perfect match mbona kakuacha kwenye mataa)
 
He he he, unatafuta makubwa, tangu lini polisi ikataniana na shehe Ponda?

Haha! Kweli akili imechafuliwa... pole aisee, ndo ukubwa huo (mimi natania tu ili upunguze machungu kidogo )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…