cheriefrance
Senior Member
- Jun 5, 2013
- 134
- 40
- Thread starter
-
- #41
Tatizo sio vigezo ndugu yangu nishakuwa na wa darasa la 7 pia na akaniumiza zaidi ya hivi!najiona si mtu mwenye bahati tu!Dada pole mwaya weng tunaumia na mapenzi nakila mtu anaumia kivyake.jaribu kumpotezea kaona hauna thaman kwake ndio maana kakufanyia Hivyo unaumije dada pole sana mapenz yanaumaje haswa ukipenda.anza Mchakato wakutafuta mwinine mungu akujalie lakin mpunguzeni vigezo sio lazima amefika chuo Kikuu tupo sisi tulioishia la 7 na tuna mapenzi ya dhati.kila la heri ndugu.
Unajua nini ndg yangu BAK hata ubadilishe ID humu JF kama si mtaaalamu wa computa au hauwezi kucheza na visimu vya mchina mwandiko utabaki ni uleule. Ndo maana nikasema hivo.
He actually mentioned that i am the perfect match for him!:disapointed:Pole sana, labda hujakidhi viwango alivyojiwekea....
He actually mentioned that i am the perfect match for him!:disapointed:
He actually mentioned that i am the perfect match for him!:disapointed:
Tena hata sikumuuliza kasema mwenyewe ati!Hebu mtaje tumletee noma hapa.....
ha haaa......ha ha ha.......pole sana....sio kwamba nakucheka lakini JF ni zaidi ya uijuavyo........kuna watu wana mbwembwe humu.....ukimuona unaweza uzimie.......labda ulikuwa nje ya matarajio yake..........hiyo ipo sana........watu kujishaua....kumbe hakuna kitu........
Tena hata sikumuuliza kasema mwenyewe ati!
Hayupo active kwa sasa ila ni mtu active sana na anajuaga anachokiongea!Humu Jukwaani yupo active?
ha haaa......
na nadhani sasa ni wakati muafaka wa kuanzishwa jukwaa la heart breaking....
maana naona watu wengi sana wanabreakiwa hearts zao humu humu
cc. Invisible
He actually mentioned that i am the perfect match for him!:disapointed:
Honestly when i love someone,i truly love them with my whole heart!ndio kilichoniponza hicho...dah kweli upo in love!