Changamoto zA sura laini na uso bebi face;
Ukipewa kazi field, watu wazima wanaweza kuku puuza wakidhani tineja au mtoto asiyejua maisha. Si rahisi waje kukuomba ushauri.
Unaweza kua mkubwa ukashuhudia mdogo wako akipewa shikamoo na wewe ukiambiwa mambo.
Kuna kazi ukiomba si rahisi kuaminika. Wanakuona bado tender age.
Unakosa kuaminika hata kwa mambo madogo. Mbele zA watu. Kwa kuonekana hujakomaa.
Ukifanya utani kwa watu ni rahisi watu kukuita mtoto.
Ni rahisi watu kuamini kua huna nguvu. Wewe ni legelege.
Ni rahisi watu kudhani unajipodoa kama mwanamke.
Kimsingi kwenye jamii Unakua haukui mbele yao.
Kama jamaa anatafuta sura ngumu kwasababu kama hizi basi Ana haki hiyo.... Acha atafute tu ili heshima irudi...