noel oga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2015
- 271
- 219
Habari bandugu naomba mnipatie altenatives ya kuufanya uso wangu uwe mgumu maana mimi ni mwanaume sipendi kuona uso wangu kuwa mlaini.shemeji/wifi yenu hupenda kunishikashika uso akisema anaupenda sababu mlaini sana,hata x girls wa nyuma walikuw wakisema uso wangu mlaini stil friends wanafunguka same ishu binafsi nikijgusa nakubali kama ya mtoto mchanga wakati nina 28 yrs now.ofcoz brothers and sisters mi binafsi nachukia sana hali hii,natumia futa la mgando tu na wala sijawai kufany scrubbing.hivyo doctors naombeni mnisaidie nifanye nini ili nipate uso mgumu mimi mtoto wa kiume sipendi hali hii kabisa.