Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
You sound tooo philosophical in your narration, nimekuelewa though...
Naomba ufafanuzi wana JF
Mtu akisema ana-enjoy SEX na amesha-date alot of pipo, ni kwamba ana sifa UZINZI au ndio normal life?
Kamanda usipindishe YES kasema ana-enjoy sex lakini hajaridhika na mpangilio mzima wa maisha yake,PLEASE NOTE hajasema anatafuta watu hapa wa kumuongezea lovebite anahitaji USHAURI TU!Kasema pia anaenjoy bana! mbona unataka kumbania starehe zake kamanda?
heheeh kamanda naona umekuwa lawyer wa lovebyte ghafla? kuna maslahi nini? sawa bana acha tumpe ushauri.Kamanda usipindishe YES kasema ana-enjoy sex lakini hajaridhika na mpangilio mzima wa maisha yake,PLEASE NOTE hajasema anatafuta watu hapa wa kumuongezea lovebite anahitaji USHAURI TU!
Hi, mie ni msichana wa miaka 30, I have my very on lifestyle which me mwenyewe sijielewi. I am working n managed to rent a house and buy a car some years ago.
I live in Dar with a house girl n security guards only. I have such a free life that I can even hang out with friends for some days outside Dar. Sina boyfriend, but have hooked n dating some cute guys out there.
I have a dream of getting marriage somedays ahead but I dont see anyone among my close dudes as ideal though aint desperate. I party out a lot sana n I work a lot too.
Have dated Wazungus, Asians n more of Tzans. I enjoy sex sana n I cant wait to strip naked b4 my crazy lovers, lol. I dont understand myself kwa sababu cjui lini maisha haya yataisha na wala sielekei kuyachoka au kuyakubali .
Ki ukweli naishi kama hivi am a Christian n i also pray to God to fix wats i LACK IN MY LIFE OR CHANGE THE WAY I ARE. Sijielewi nataka au sitaki nini kwenye lifestyle of mine regardless of my age.
I CARE 4 my family n friends as well. I am very easy person to get along with n I am such a lady who jokes a lot n down to earth.
Hebu nisaidieni wana JF hivi kuna mtu mwingne yupo kama mimi au me ndo maisha yashanshinda? Na je what can i do?
Samahanini kwa kuchanganya lugha.
Hongera kwa kuwa hardworking, safi sana kwa kudunduliza na kuendesha maisha yako kama utakavyo.Hi, mie ni msichana wa miaka 30, I have my very on lifestyle which me mwenyewe sijielewi. I am working n managed to rent a house and buy a car some years ago.
I live in Dar with a house girl n security guards only. I have such a free life that I can even hang out with friends for some days outside Dar. Sina boyfriend, but have hooked n dating some cute guys out there.
I have a dream of getting marriage somedays ahead but I dont see anyone among my close dudes as ideal though aint desperate. I party out a lot sana n I work a lot too.
Have dated Wazungus, Asians n more of Tzans. I enjoy sex sana n I cant wait to strip naked b4 my crazy lovers, lol. I dont understand myself kwa sababu cjui lini maisha haya yataisha na wala sielekei kuyachoka au kuyakubali .
Ki ukweli naishi kama hivi am a Christian n i also pray to God to fix wats i LACK IN MY LIFE OR CHANGE THE WAY I ARE. Sijielewi nataka au sitaki nini kwenye lifestyle of mine regardless of my age.
I CARE 4 my family n friends as well. I am very easy person to get along with n I am such a lady who jokes a lot n down to earth.
Hebu nisaidieni wana JF hivi kuna mtu mwingne yupo kama mimi au me ndo maisha yashanshinda? Na je what can i do?
Samahanini kwa kuchanganya lugha.
Kama sex ilikuwa inatolewa cheti yaani kufuzu wewe ungekuwa profesa ambaye vichapo/tafiti zange zimechapwa mara nyingi kwenye international journal. Tuseme kijana kama Kloroquin anaingia mkenge anakuwowa duuuu atakuwa ameoa used na mchango sitoi. Wewe mtu umeonja kila race ya mwanaume?
LOVEBYTE:
It sounds to me like, contrary to what you are saying ie. you love your lifestyle and so forth, deep down you are just as worried and wonder why no body has yet popped the question despite your admirable cv!!
nice..ila hapo kwenye RED?
Hapo kwenye red,at 30? mwanamke wa kibongo? Pointers,hivi unajua wasichana wanaodai hivi sasa mjini ni wale waliozaliwa 1990 na kuendelea? kama una wadogo zako wa kiume/wanao wa kiume angalia wanatoka na mabinti waliozaliwa miaka ipi.huyu is the matter of time mwenyewe ataondoka huko
sasa hv bado umri unamruhusu na ana soko kwa watu
ngoja umri ujongee mwenyewe atatulia..........
Hi, mie ni msichana wa miaka 30, I have my very on lifestyle which me mwenyewe sijielewi. I am working n managed to rent a house and buy a car some years ago.
I live in Dar with a house girl n security guards only. I have such a free life that I can even hang out with friends for some days outside Dar. Sina boyfriend, but have hooked n dating some cute guys out there.
I have a dream of getting marriage somedays ahead but I dont see anyone among my close dudes as ideal though aint desperate. I party out a lot sana n I work a lot too.
Have dated Wazungus, Asians n more of Tzans. I enjoy sex sana n I cant wait to strip naked b4 my crazy lovers, lol. I dont understand myself kwa sababu cjui lini maisha haya yataisha na wala sielekei kuyachoka au kuyakubali .
Ki ukweli naishi kama hivi am a Christian n i also pray to God to fix wats i LACK IN MY LIFE OR CHANGE THE WAY I ARE. Sijielewi nataka au sitaki nini kwenye lifestyle of mine regardless of my age.
I CARE 4 my family n friends as well. I am very easy person to get along with n I am such a lady who jokes a lot n down to earth.
Hebu nisaidieni wana JF hivi kuna mtu mwingne yupo kama mimi au me ndo maisha yashanshinda? Na je what can i do?
Samahanini kwa kuchanganya lugha.
CPU tatizo hapa ni mtizamo wa jamii,mwanaume akikaa kaunta Rose Garden akajishebedua kuwa ashalala na wazungu,wachina,wahindi,wahaya,wagogo,wasukuma,waarab etc wengi wetu tutaona poa tu,ndo uanaume huo na si ajabu tukamwomba atupe mauzoefu anawapataje,lakini ole wake mwanamke (kama alivyosema Lovebyte) aseme kalambwa na wahindi,wazungu,kina CPU,waarab n.k lol ngoma inakuwa nzito hapo,ataitwa majina yote duniani,la 'mzinzi' likiwemo.Naomba ufafanuzi wana JF
Mtu akisema ana-enjoy SEX na amesha-date alot of pipo, ni kwamba ana sifa UZINZI au ndio normal life?
Love bite you have bit me!