Najenga chemba nzuri za kisasa kwa bei rafiki

Najenga chemba nzuri za kisasa kwa bei rafiki

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
7,435
Reaction score
20,929
Karibuni sana wakuu kama unahitaji kujengewa Chemba nicheki +255624254690

20240718_173103.jpg
 

Attachments

  • VideoCapture_20240918-143619.jpg
    VideoCapture_20240918-143619.jpg
    710.5 KB · Views: 53
  • VideoCapture_20240918-143724.jpg
    VideoCapture_20240918-143724.jpg
    728.1 KB · Views: 49
Hapa sijaelewa emu tupe maelezo hiki ni nini? Hii Chemba km sijaielewa
Asante sana mkuu kwa swali lako.
Hii nimeijenga kulingana na fundi bomba alivyoweka hizo bomba zake.
Hapo ukianglia hilo bomba kubwa ni la kutoka chooni, na hilo dogo ni bomba la maji ya kunawa, kwa pembeni yake hapo ndipo zinakutana zote. Sijajua kama umeelewa,
Au angalia hii video yake uelewe zaidi.
 
Hutaki msaidizi?
I bring marketing skills on the table
Huwa inatokea nahitaji mkuu.
Ila mara nyingi ninao wasaidizi wa karibu ambo huwa natembea nao.
Huwa nahitaji pale ambapo labda wako kwenye kazi zingine .nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom