Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
Miongoni mwa faida za kuwa single ni kujipanga kiuchumi, kujijenga kiafya na kutimiza malengo.
Natamani kuwa single hata miaka miwili ili nijipange ila kila nikitoka nje nikikutana na wanawake nahangaika mno.
Nikiona mtu yuko na mpenzi wake Naona wivu najihisi mpweke mno.
Kifupi najihisi mpweke mno
Muda mwingine nipo geto mvua inanyesha daah I wish I niwe nakula mbunyenye ila sitaki.
Wakuu munawezaje?????
Nisaidie tafadhali