Najaribu kupotezea lakini "roho inaniuma"

Najaribu kupotezea lakini "roho inaniuma"

Hapo kwenye shoo ya nauli ni chai ya mdalasini.
 
wanaume tuna matatizo sio bure.. juzi kati nilikuwa nasafiri sasa kwenye lile bus window seat zote zikawa covered na aisle seat ndio zilikuwa wazi. Sasa pembeni yangu kuna dame amekaa kwenye window seat kufika mbele kidogo akachafukwa na tumbo akatapika sana kwenye ile aisle seat. Tumefika mikumi kuna jamaa akapanda akaacha seat zote kuanzia mbele akaja kukaa kwenye seat yenye matapishi kisa kakaa dame mzuri!! kwakweli wanaume tuna problem kwenye source code ya uumbaji wetu tumuombe Mungu aipitie upya code inayooperate kwenye miili yetu.
 
Hiyo ni sadaka umetoa mkuu, Mungu akuzidishie pale ulipopunguza
Mkuu sadaka wakati lengo lako lilikuwa lingine? hakunaga Mungu wala sadaka ya hivyo huyu kakosa vyote pesa na hako ka mboga saba na hpati hizo swawabu
 
Sasa ulishindwa kuulia hata anashuka kituo gani?
 
Kama nakuona ulivyokuwa umesimamia shoo ili hapo kwenye kutoa namba kama sio yeye kuanza kukuomba ya kwako basi ukiomba ajikute mwenyewe tuu ametoa
Hahaha... kwa saut ya Bill Gates Nikasema "Konda kata ya wanne"
 
Ungefika mbele ungerud kile kituo usubr mpk uwaone, lazma watarud kwa njia hio labda watekwe
 
soon mwendo kasi itajengwa huko phase 3 so ukikutana nae kwenye bus huna haja ya kuwaza kuhusu nauli
 
Wakuu Sikukuu mwenzenu nishaianza vibaya...

Nimepanda na kabinti kamoja kazuri ndani ya Hiace moja inayoelekea nje kidogo ya jiji hili. Tupo sisi na Dereva wetu mbele ya gari, haka kabinti nikakalia ubuyu maana mimi sipendagi kumshobokea demu (NOTE: demu ukimshobokea @ Day one atakusumbua kukupa Ny*chi)

Bahati nzuri kakaanza kenyewe...

Binti: kaka hivi huku "kaburi la mzungu" (sio jina halisi) kwa nini pameitwa hivyo? ...Jamani mimi sijawai fika huku mimi mwisho wangu kule "Airpot"... blah blah blah

Nikagundua(from stories tulizokua tunazinyuka) haka kaMsupa ndio walee watoto wa "milioni 8 pesa ya mboga kwa siku moja tu". Basi nikasema nyota ya jaa si ndio hii.

Timing yangu ilikua tukifika mwisho wa gari ndio mzee ntaomba zile digits 10 za kuwasiliana nae. Dah asee tukiwa tunakaribia kufika mwisho vimebaki kama vituo viwili rafiki zake waliokaa nyuma ya gari (ambaye mmoja ndio alikuwa mwenyej wake) wakashuka na kumwambia yeye aliekaa mbele "Aaliyah Tumefika Shuka"...

Mzee nikapewa "byeeee" ...Doooo

Isitoshe nilisimamia show ya nauli ya watu wote wa 4

Jamanii "Roho Inaniumaa Mieeee"--- in voice of ft Christian Bella ( Fid q- Roho )
Hhhhaahahahhhhhhhaaahaha
 
wanaume tuna matatizo sio bure.. juzi kati nilikuwa nasafiri sasa kwenye lile bus window seat zote zikawa covered na aisle seat ndio zilikuwa wazi. Sasa pembeni yangu kuna dame amekaa kwenye window seat kufika mbele kidogo akachafukwa na tumbo akatapika sana kwenye ile aisle seat. Tumefika mikumi kuna jamaa akapanda akaacha seat zote kuanzia mbele akaja kukaa kwenye seat yenye matapishi kisa kakaa dame mzuri!! kwakweli wanaume tuna problem kwenye source code ya uumbaji wetu tumuombe Mungu aipitie upya code inayooperate kwenye miili yetu.
Hahahaaha... Mkuu Ndio Tumeumbwa Hivyo!

Naungana na sala yako tena mimi naomba mungu afanye modification ya kwenye Kernel kabisaa mana ya kwa source code haitosaidiiia anatakiwa kutafuta brain of the system yaniii
 
Mkuu si nimekuambia yeye mwenyewe alikua hajui wapi anaenda

Hata kwa hao wenzake?

Kama hujui wapi anakwenda the safest assumption ni kwamba anaweza kushuka kituo kinachofuata na kama una interest unachukua digits mara moja.

Take this from the coach. You will be a good player.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom