Najaribu kufikiri in mental health

Najaribu kufikiri in mental health

mhugo hantish

Senior Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
137
Reaction score
36
Wakati binti akiwa Hana mtoto wa kumnyonyesha sehem za kifua chake huwa tunaona/anaona ni siri., Lakini akiwa ananyonyesha tu sehem zake za kifuani sie/au yeye huona km sio siri tena. Nini tafsiri yake sahihi ki_mental health? [emoji2]
e8cca2d0a147078b2d3e749ff58ea42a.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha ya kwanza necktie imekaa vibaya picha ya pili koti limekaa vibaya halafu combination ya rangi SIO professional
BETWEEN kuna uhusiano gani kati ya hizo picha na mada yako?

Jr[emoji769]
 
nadhan umeongea kifasih nimekuelewa.Mshana Jr , Joseverest nimemuelewa mtoa mada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom