moshi norbert
Member
- Nov 12, 2019
- 13
- 9
Naombeni kufahamu kwa wale wote wanaofanya kazi katika ofisi mbalimbali hasa katika makampuni, kwa plan kama yangu utaratibu unakuaje ili niweze kuwa nawaletea matunda ofisini kwenu?
Ulimaanisha ku-supply nadhani boss.ninachomaanisha n kua nataka nipate taratibu za ofisi tofauti tofauti maana uwezi peleka matunda ofisini kama unapeleka saiti ofisi huwa zina talatibu zake naisi n lazima ufwate taratibu ili uweze pata ruhusa ya kuwa unaingia
Kule unaweza ukawa unafanya nao kazi kwa biliIyo biashara bora ufanye mtaani uko maofisini wakishakuzoea utakopwa mpaka ujute asilimia 70 mtaani 30 Ofcn
Naombeni kufahamu kwa wale wote wanaofanya kazi katika ofisi mbalimbali hasa katika makampuni, kwa plan kama yangu utaratibu unakuaje ili niweze kuwa nawaletea matunda ofisini kwenu?
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO VERY SOON MKUU.ninachomaanisha n kua nataka nipate taratibu za ofisi tofauti tofauti maana uwezi peleka matunda ofisini kama unapeleka saiti ofisi huwa zina talatibu zake naisi n lazima ufwate taratibu ili uweze pata ruhusa ya kuwa unaingia