Madam Lucky
Member
- Sep 22, 2018
- 44
- 36
Asante mpendwaKaribu madam
Support ya Kazi yangu ya uimbaji mkuu, samahan kama nimesumbuaSupport gani unahitaji toka kwetu?
Asante sanaSawa mama
Hujasumbua. Basi usijali, ntapitia YouTube kuangalia kazi zako.Support ya Kazi yangu ya uimbaji mkuu, samahan kama nimesumbua
Mi Natafuta mke aliyeokoka.Naitwa Madam Lucky, nipo Karagwe ni muimbaji wa gospal, youtube: Madam Lucky, instagram: Madam Lucky, facebook: Luck MamaAtukuzwe, whatsap 0769001974/0784297973. Naomba support yako mpendwa na Mungu atakubariki
Makanisa yote ukiniita nahudum, labda kama unauliza ninapoabudu, nipomadam L. wa kanisa gani mpendwa nianze kuhudhuria hapo kanisani
Hahaha ndio, pia Nina mtoto mmoja anaitwa AtukuzweUmeolewa?
Ucjal Mungu yupo karibu kujibu hitaji lako cha kufanya kuwa karibu naeMi Natafuta mke aliyeokoka.
Samahan kwa usumbufu.
Ahsante kwa ukaribisho. Ntakutafta.Ucjal Mungu yupo karibu kujibu hitaji lako cha kufanya kuwa karibu nae
Support gani unahitaji toka kwetu?
Naomba mnipokee jaman watanzania wenzangu,
Kenya
Uganda
Rwanda
Dunia nzima