Naitwa Lusile!!!

Maana nashangaa, Mgeni gani umechangamka hivo Khaaaaaa...........
Mi nina wasi wasi na ishu moja hivi, ila ngoja kwanza niichunguze.
Ila jana ulufika salama home?

hajawah kutokea mgeni kama huyu!! Anashambulia si mchezoo.
 

Watu8 jina ni la kithungu unakumbuka wimbo wa country lucile
 
Last edited by a moderator:

wazo la msingi.
 
Last edited by a moderator:
taja hzo sehemu unazo tarajia kuwashka wana cht chat...unaweza kwenda jela pasipo kutegemea shauri yako.
 
Hommie, bila kupoteza muda leo ni J2-1 Kesho ni kuifakamia sakramenti tu.

Naamini sijakosea ndugu wananchi.

Pisha hommie Asprin unanizuia nisimuone Husninyo! Hilo swali nililielekeza kwake makusudi. Btw shkamoo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…