tedo mambo vipi
Masela wa kitaa mambo zao vipi?
Na kule mjengoni napo mambo vipi?
Na Mabinti wa chit chat mambo vipiiiii?
Haya nipeni yanayojiri hapa kabla sijaharibu, maana naamini hili jukwaa VIGEZO NA MASHARTI vinazingatiwa!
Mwageni ma policy ya chit chat kabla sijachafua hali ya hewa humu

Jombaa kusoma hujui, sasa hata picha..!!!!!!
Ahsante sana
Ungeopenda dhawadi gani
Machale yameni-play hii aina ya kuandika inasadifu wewe ni memba mzoefu...
Mie ni KE Jina linahusika lakini hata picha huoni?
Mie ni KE Jina linahusika lakini hata picha huoni?
Nina mashaka na wewe...km sio mwenyeji basi ni kidume
We kweli TOMASO
We kweli TOMASO
Na nani?