Naitupa rasmi laini ya Voda na kuhamia Halotel

Naitupa rasmi laini ya Voda na kuhamia Halotel

Halotel sio wa mchezo hawa waliua mtandao wa Samuel etoo kule Cameroon....msumbiji mapeema watu wamesalenda..kule Cambodia wanajiita vietel nako washayapa makampuni ya simu kibao za uso. Though wanachangamoto moja hawana customer care nzuri na hawalipi vizuri wafanyakazi wao but hayo ni yao kwa vile Wateja tunapata tunachokiitaji hayo ya ndani hayatuhusu.

Wasipofayiwa figisu huku, hiyo minara ya mitandao mingine itakuwa sehemu ya ndege kunyea na kuzaliana.
 
Siyo haishiki internet! Bi suala la setting mkuu. Nitafute hata inbox nikuelekeze namna ya kufanya settings zake.
acha ukilaza na wewe,nimeanza kutumia smartphone wakati wewe bado upo kijijini hata umeme hauufahamu,unajua kwanini nimemwambia ndio maana haishiki internet,karudie kukisoma alichoandika hadi nikamwambia ndio maana haishiki internet...
 
Naenjoy you tube bure kuanzia saa 6 nafanya yangu mpaka tanesco wananizinia umeme yani ni kudownload tu
 
Mimi hakuna line nitakayoitupa,kila line ina umuhimu wake.
1. Halotel >>>> Internet.
2.Voda >>>> M.pesa.
3.Airtel >>>>Mawasiliano.
4.Tigo >>>>> Watu wangu wengi wanaijui hii namba.
hongera mie hz mbili zanishindaa!!
 
Mkuu mi voda siwapendi ningekuwa niliashatupa line na nimenunua line ya halotel, tatizo ni kwamba sim yangu nikiweka line ya halotel haishiki internet. Msaada please ili nitupe line ya voda rasmi
Ni aina gani ya SIMU na ukiweka laini kinatokea nini
 
mi nilishahama kitambo mno ngoja wapate hasara watalekeza tuu
 
Mkuu mi voda siwapendi ningekuwa niliashatupa line na nimenunua line ya halotel, tatizo ni kwamba sim yangu nikiweka line ya halotel haishiki internet. Msaada please ili nitupe line ya voda rasmi
Nilikuwa na ttzo hili hili lkn nilielekezwa ndani ya dakika 1 ikawa tyr
 
Nimeamua kuanzia Leo Mimi Na familia yangu kuhama Mtandao wa Vodacom Na kuzitupa Line zetu ili tujiunge Na Mtandao Rafiki wa Halotel.Mtandao wa Voda umekuwa Gharama sana Na sio Rafiki kwani umeshusha ukubwa wa vifurushi vyake lakini bei in ile ile hali ambayo imetuumiza sana wadau.Nachukua fursa kuwaaga marafiki, maadui Na wale wapiga debe wenzangu pale Lumumba Na kuwambia kuwa nimehama rasmi Na CCM nakuwa Mchungaji.
Bado unaile sketi yako nyeusi uliyokuwa unavaa unakwenda nayo pale sinza?
 
Kwenye ishu ya bando la Mb wanatoa zakutosha tu tofauti na hao wengine ila kasi yao katika net kwakweli hairidhishi tofauti na nilivyosifiwa.
 
naona washaanza kuelemewa kama ilvokua tigo kpnd hcho nadhan hii inachangiwa na wateja kuongezeka ikapelekea speed kupungua
 
Back
Top Bottom