Naitupa rasmi laini ya Voda na kuhamia Halotel

Naitupa rasmi laini ya Voda na kuhamia Halotel

Vodacom siku zote Huwa Wanaanza Tulia Tu wengine watafuata
 
Nenda kwenye setting na add apn account na kila kitu kitakuwa poa. Kama ni Android >setting >connection/Internet/wireless & network />more setting >mobile networks>access point names(APN)>option>add new>save>flight mode on>flight mode off> switch on your mobile data n you are good to go

Fuata mishale.
hapo add new andika "halotel internet" then chini yake "internet" save then kwisha habari
 
Nimeamua kuanzia Leo Mimi Na familia yangu kuhama Mtandao wa Vodacom Na kuzitupa Line zetu ili tujiunge Na Mtandao Rafiki wa Halotel.Mtandao wa Voda umekuwa Gharama sana Na sio Rafiki kwani umeshusha ukubwa wa vifurushi vyake lakini bei in ile ile hali ambayo imetuumiza sana wadau.Nachukua fursa kuwaaga marafiki, maadui Na wale wapiga debe wenzangu pale Lumumba Na kuwambia kuwa nimehama rasmi Na CCM nakuwa Mchungaji.
Tena hawa halotel WANA huduma yao inaitwa CUG ambayo unaweza waunga watu kibao na kuongea bure kwa mwezi mzima kwa sh. 2500 tu! Kwa kila line na hakuna limitation ktk kuongea!!!!
 
Tena hawa halotel WANA huduma yao inaitwa CUG ambayo unaweza waunga watu kibao na kuongea bure kwa mwezi mzima kwa sh. 2500 tu! Kwa kila line na hakuna limitation ktk kuongea!!!!

Duuuhh.. ebu elezea in details tunaomba.. 2500 kwa mwezi unaongea na watu kibao hadi line za kampuni nyingine..? Mmhh..!!
 
Duuuhh.. ebu elezea in details tunaomba.. 2500 kwa mwezi unaongea na watu kibao hadi line za kampuni nyingine..? Mmhh..!!
Ww unaunda group la watu uwatakso but kila line ya hao uliyowaunga inatakiwa uilipie hio 2500 kwa mwez.kwa hio mtakua mnapigiana wa group tu na c namba ili nje ya group.
 
Halotel ndo habari ya mjini! Kwa taarifa tu sijawai kutumua mtandao wa voda tangu na zaliwa ilitokea tu automatically siipendi voda amia Halotel ndo kilakila kitu sijaona mtandao bomba kama Halotel TZ big up kwenu Halotel halaaa
 
Mkuu mi voda siwapendi ningekuwa niliashatupa line na nimenunua line ya halotel, tatizo ni kwamba sim yangu nikiweka line ya halotel haishiki internet. Msaada please ili nitupe line ya voda rasmi
Ni settting mkuu halo ukiweka line lazma ufanye setting wapigie wakueleweshe
 
Mie airtel nao nawahesabia wanaboa sana. Kuna ufisadi umeanza kwenye mitandao hii.
 
Mkuu mi voda siwapendi ningekuwa niliashatupa line na nimenunua line ya halotel, tatizo ni kwamba sim yangu nikiweka line ya halotel haishiki internet. Msaada please ili nitupe line ya voda rasmi
Simu yako inahitaji wap setting
 
Mkuu mi voda siwapendi ningekuwa niliashatupa line na nimenunua line ya halotel, tatizo ni kwamba sim yangu nikiweka line ya halotel haishiki internet. Msaada please ili nitupe line ya voda rasmi
Fanya setting ya APN mwenyewe.
 
Ww unaunda group la watu uwatakso but kila line ya hao uliyowaunga inatakiwa uilipie hio 2500 kwa mwez.kwa hio mtakua mnapigiana wa group tu na c namba ili nje ya group.

Noted with thanks..!! Hv a wonderful ever weekend..!! Be blessed..!!
 
Halotel kwenye internet is the best.labda ije kubadilika baadae
 
Back
Top Bottom