mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,253
Nimeamua kuanzia Leo Mimi Na familia yangu kuhama Mtandao wa Vodacom Na kuzitupa Line zetu ili tujiunge Na Mtandao Rafiki wa Halotel.Mtandao wa Voda umekuwa Gharama sana Na sio Rafiki kwani umeshusha ukubwa wa vifurushi vyake lakini bei in ile ile hali ambayo imetuumiza sana wadau.Nachukua fursa kuwaaga marafiki, maadui Na wale wapiga debe wenzangu pale Lumumba Na kuwambia kuwa nimehama rasmi Na CCM nakuwa Mchungaji.