JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,844
Hii ni balaa aisee
Hicho kigari hata ukikukuta chenye engine ndogo ni kizito kuliko toyota premio.
Hii ni balaa aisee
Sasa si mateso hayo?Yes ni sahihi, inakuja na compressor ndogo na dawa ya kuziba incase ukipata pacha