Naitaka yeye ananikatalia - njooni tuzogoe!

Naitaka yeye ananikatalia - njooni tuzogoe!

Napenda kula zaidi, ila kudinywa ni namba 2.
Furaha yangu ni unilishe vizuri halafu unidinye bila huruma, hapo ndiyo maisha yanakua burudani.
Nikulishe vizuri ushibe kisha nikudinye? Una uhakika umemaanisha hivyo kwamba ule kwanza ndio nikudinye?
 
Nikulishe vizuri ushibe kisha nikudinye? Una uhakika umemaanisha hivyo kwamba ule kwanza ndio nikudinye?
Nimemaanisha anayenidinya anifanyie hivyo, ndiyo nina uhakika.
Ila pia inawezekana, kudinywa, kulishwa halafu kudinywa tena!
 
Haya ukaongee na shemejiyo, bora akose usafiri au aharibu kazini ila asininyime rungu lake. Hii imeniuma sana 😂 !
Hayo mtapatana wenyewe 🤣🤣
Akose kazi uje udai hana hela ya kukutunza 😄😄
Boys wale wakose role model sio
Usuruali sio dili hata kidogo 🤣🤣
 
Leo siku imeanza vibaya na imeisha vibaya.
Kunyimwa inauma nyie 😔 ANYWAY ; Jibu moja ya maswali haya tuzogoe.
  • Nini kimetokea wiki hii kikakufurahisha au kukukera?

  • Weekend hii uko wapi na unafanya nini?

  • Kwa wanaume, ulishawahi kutongozwa na mwanamke? na ulimkubalia au alikuogopesha ukapita vile?

  • Lini mara mwisho kunyimwa mizagamuano ulipomuomba bebi wako? na alikupa kisingizio gani?

  • Nyimbo unazozisikiliza on repeat wiki hii ni zipi?
Matakooo yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom