Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Thread starter
- #21
Ukishaoa au kuolewa ndiyo utaelewa, na mimi nilivyokua mdogo nilikua nashangaa ila kwa sasa nikiona inatokea, sikubaliani na hizo tabia ila "I understand"Mwanzo nilikua nashangaa kwanini walio oa wanachepuka, kumbe hawapendi.