Naitaji wanyama wawili Simba na Tembo tawapataje?

Nashakuru wakuu wangu nimepokea PM nyingi sana kuanzia kesho taanza kuzifanyia kazi
 
Hata binadamu ni mnyama,tembo na simba ni majina tu,nenda Songea wapo wangoni wengi unajichagulia tu,tembo,matendo,katembo,litembo,masimba,simba.AKILI ZA MBAYUWAYU CHANGANYA NA ZAKO
 
Kaka una ugomvi na mimi? Kama una hao wanyama pumzika kaka
 
Back
Top Bottom