Mbona kwenye taasisi za kifedha unakopesheka kabisa mkuu?? Tatizo ni hapo kwenye riba. Kama utachelewa kurudisha utapata hasara mkuuNimejaribu kufuatilia bank zetu hapa bongo nikagundua awana utaratibu wa kukopesha mtu agharamie gharama za sehemu ya arusi yake tofauti na Bank za kenya. Umri unanitupa, kila siku afadhali ya jana, conection ya maana sina. Naitaji kiasi cha shilingi milioni mbili kwa marejesho ya shilingi elfu hamsini kwa mwezi kwa muda wa miaka 3 na miezi 7. Riba iwe 10%. Yeyote aliyebarikiwa anikopeshe tafadhali.
Pesa hii ni ya kulipa mahari, kupage, gharama za kwangu na bibi arusi.
Sure mkuu,nimefunga harusi juzi juzi tu mkesha wa mwaka mpya gharama zilikuwa hiviMkuu usicomplicate maisha, kwa nini uchukue mkopo kugharamia harusi?? Chukua mkopo kwa jambo la investiment,nilishawahi kuhudhuria harusi ambayo budget ilikuwa elfu sabini. Maisha ni magumu kwa sasa,ndoa ni jambo jema halitakiwi kukutia stress wala kukuachia madeni utakayolipa for years... Huo ni ushauri wangu,u can take it or leave it.
Watu kwa makubwa!! Miye mwanaume anayekopa et kisa harusi hata simpendi!!
kama ya harusi unakopa ya kumlisha huyo mke utaitoa wapi?
Mimi naweza kukukopesha hiyo hela hata kesho ila utamwacha mke wako rehani hadi utakapo maliza deni lote. Na mke namchukua baada ya sherehe ya harusi kuisha kama dhamana. Vp upo tayari ?
Nimejaribu kufuatilia bank zetu hapa bongo nikagundua awana utaratibu wa kukopesha mtu agharamie gharama za sehemu ya arusi yake tofauti na Bank za kenya. Umri unanitupa, kila siku afadhali ya jana, conection ya maana sina. Naitaji kiasi cha shilingi milioni mbili kwa marejesho ya shilingi elfu hamsini kwa mwezi kwa muda wa miaka 3 na miezi 7. Riba iwe 10%. Yeyote aliyebarikiwa anikopeshe tafadhali.
Pesa hii ni ya kulipa mahari, kupage, gharama za kwangu na bibi arusi.