Naitaji mkopo kugaramia Arusi yangu.

Naitaji mkopo kugaramia Arusi yangu.

Very bad Idea. fikiri tena! Unaweza ukafanya harusi ndogo kwa uwezo ulio nao na bado mkaishi raha mustarehe.
je umewazua wazo la kufanya taratibu ya kuoa ( kiserikali au kidini au kimila ) halafu mkajafanya harusi mtakapokuwa na uwezo.? Kuna rafiki yangu alifanya harusi ya shilling elfu 10 miaka kumi iliyopita. Taxi toka magomeni hadi kwa DC Ilala elfu 1, wapambe wao waliwakuta huko. wakalipa elfu 1 ya vyeti na walipotoka waliishia Msimbazi center wakapata pilau na soda pale kafeteria.. kila mtu akaishia.. sasa wana watoto watu na baada ya miaka mitano walifanya jubilee na kuwakaribisha watu ..sasa wanahesabika kwenye kundi la waliondelea. Ni wazo tu!
 
Yaani ukope hela kwa ajiri ya harusi duh! kwani unaishije na watu? je harusi zao haujawahi kuchangia kwamba wao wakashindwa kukuchangia kama inashindikana kwani harusi lazima
 
Back
Top Bottom