Naitaji mkopo kugaramia Arusi yangu.

Naitaji mkopo kugaramia Arusi yangu.

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Nimejaribu kufuatilia bank zetu hapa bongo nikagundua awana utaratibu wa kukopesha mtu agharamie gharama za sehemu ya arusi yake tofauti na Bank za kenya. Umri unanitupa, kila siku afadhali ya jana, conection ya maana sina. Naitaji kiasi cha shilingi milioni mbili kwa marejesho ya shilingi elfu hamsini kwa mwezi kwa muda wa miaka 3 na miezi 7. Riba iwe 10%. Yeyote aliyebarikiwa anikopeshe tafadhali.

Pesa hii ni ya kulipa mahari, kupage, gharama za kwangu na bibi arusi.
 
Mkuu usicomplicate maisha, kwa nini uchukue mkopo kugharamia harusi?? Chukua mkopo kwa jambo la investiment,nilishawahi kuhudhuria harusi ambayo budget ilikuwa elfu sabini. Maisha ni magumu kwa sasa,ndoa ni jambo jema halitakiwi kukutia stress wala kukuachia madeni utakayolipa for years... Huo ni ushauri wangu,u can take it or leave it.
 
Nimejaribu kufuatilia bank zetu hapa bongo nikagundua awana utaratibu wa kukopesha mtu agharamie gharama za sehemu ya arusi yake tofauti na Bank za kenya. Umri unanitupa, kila siku afadhali ya jana, conection ya maana sina. Naitaji kiasi cha shilingi milioni mbili kwa marejesho ya shilingi elfu hamsini kwa mwezi kwa muda wa miaka 3 na miezi 7. Riba iwe 10%. Yeyote aliyebarikiwa anikopeshe tafadhali.

Pesa hii ni ya kulipa mahari, kupage, gharama za kwangu na bibi arusi.

Dah! yani Mimi natafuta mkopo wa mil. 2 nifanye biashara ili nijikwamue na ugumu wa maisha hafu wewe unaomba mkopo ufanye HARUSI!!!!
 
Labda umweke bi harusi kama mdhamin ili ikishindwa kurejesha mkopo bi harusi halali yangu.
 
Mimi naweza kukukopesha hiyo hela hata kesho ila utamwacha mke wako rehani hadi utakapo maliza deni lote. Na mke namchukua baada ya sherehe ya harusi kuisha kama dhamana. Vp upo tayari ?
 
I left the label right a lot cats wonder how? Evry
tym I diss the label I get fine 100 thous just for
tellin y'all I get fined 100 thous uh them cats are ill
five times half a mil.---You got luv it
 
kama ya harusi unakopa ya kumlisha huyo mke utaitoa wapi?
 
hii inatosha

DSC05738.JPG
 
Nimejaribu kufuatilia bank zetu hapa bongo nikagundua awana utaratibu wa kukopesha mtu agharamie gharama za sehemu ya arusi yake tofauti na Bank za kenya. Umri unanitupa, kila siku afadhali ya jana, conection ya maana sina. Naitaji kiasi cha shilingi milioni mbili kwa marejesho ya shilingi elfu hamsini kwa mwezi kwa muda wa miaka 3 na miezi 7. Riba iwe 10%. Yeyote aliyebarikiwa anikopeshe tafadhali.

Pesa hii ni ya kulipa mahari, kupage, gharama za kwangu na bibi arusi.

Onana na Joyce Kiria anatoa mikopo ya harusi.
 
Hao ni watu wa wapi wanaohitaji mahari kubwa kiasi hicho duh...

Kwa hesabu za fasta kama hauna haja na sherehe yenye mbwembwe, hiyo fweza inatosha kufanikisha shughuli nzima kuanzia mahari, pete na harusi.
 
Watu kwa makubwa!! Miye mwanaume anayekopa et kisa harusi hata simpendi!!
 
Najua umeongea kiutani lakini wapo wengi wanaofanya hivo...
 
Nafikiri wewe ni mtu wa ajabu sana unataka kujionyesha na wewe ulifanya hurusi babukubwa na marafiki wa kakutambua usijingize kwenye gharama zisizo na msigi fanya kadri ya uwezo wako kumbuka baada ya harusi unabaki wewe na mke wako na hakuna atakaye leta chote kupunguza deni lako
 
Kukopa ili watu washerehekee kwa kunywa mapombe na kusaza!
the guy can't be serious.
 
kugaramia .......?????
arusi.........?????
ndiyo nini?acha kuwa na haraka kama kicheche
 
Najua kuishi na mke ni kuwa na ndoa takatifu, kama umri umekwenda wasihi wazazi wa binti ili umchukue. Then utajipanga kwa hiyo miaka 3 ili mrudi kundini, kuliko kujivisha mzigo wa mkopo kwa ajili ya harusi.
 
Nimejaribu kufuatilia bank zetu hapa bongo nikagundua awana utaratibu wa kukopesha mtu agharamie gharama za sehemu ya arusi yake tofauti na Bank za kenya. Umri unanitupa, kila siku afadhali ya jana, conection ya maana sina. Naitaji kiasi cha shilingi milioni mbili kwa marejesho ya shilingi elfu hamsini kwa mwezi kwa muda wa miaka 3 na miezi 7. Riba iwe 10%. Yeyote aliyebarikiwa anikopeshe tafadhali.

Pesa hii ni ya kulipa mahari, kupage, gharama za kwangu na bibi arusi.

Dogo acha utani, 50,000 * miezi 42=2,100,000/= hiyo ni hasara kwa mkopeshaji......kama huna hela omba wakwe zako utowe mahari kwa njia ya kulima mashamba yao au ufanye kazi ukweni kwa miaka kadhaa kufidia mahari
 
Back
Top Bottom