Niko mama!
Mwambie niko Arusha City park aje!
Hahahahaa atakayeshindwa aombe msaada kwa BishangaAm sorry kwa kusema ukweli!
Ni kuwa kama ukitaka kuwa member wa chit chat restaurant and pub unalipia either gold membership ambayo ni laki 5 kwa mwaka,gold membership ni 1mill kwa mwaka ,tanzanite membership ambapo ni mill 5 kwa mwaka,na vip membership ambapo ni millioni 30 kwa mwaka.kwa kutaka kujiunga ulizia accountant,maana mkurugenzi hajihusishi na mambo hayo kwa maelezo zaidi wasiliana na marketing manager wake
Ongea na wyf, akikubali akuandikie check
Kama upo hapo nakuja........niwekee tumbavu twa mbuzi jikoni nilifika viwe tayari........
nakunywa imported bia tuu,... erickb 52 nataka mhudumu unayemjua ni mzuri kuliko wote ndio awe anahudumia meza yangu,..sawa? mataputabu kama ndovu nimeacha yanajaza tumbo atiii
Hahahahaaa saasa muhudumu atakusaidia nini?nakunywa imported bia tuu,... erickb 52 nataka mhudumu unayemjua ni mzuri kuliko wote ndio awe anahudumia meza yangu,..sawa?mataputabu kama ndovu nimeacha yanajaza tumbo atiii
Wrong number! Mke wangu namjua mimi
Heheeee kitu trupa meeen!
Mzima aisee?
Feedback bado ujue sijiona!
Mambo inaenda Kama ilivyopangwa........wewe ndo sikuelewi.......vp....lini.....?
Mambo inaenda Kama ilivyopangwa........wewe ndo sikuelewi.......vp....lini.....?
Nipe Lokesio na Namberr ya matelefone nifanye comunicasio na wewe!Ok.......wacha mi nijinafasi.......na ninapata nafasi kweli kweli.......ukimuona PakaJimmy mwambie anipigie..........