6.Naisubiri siku Chit-Chat inataka roho ngumu sana!!
7.Naisubiri siku Hivi tayari umeme ushapanda bei kwa wanaotumia zaidi ya 50 units?
8.Naisubiri siku RIP Regia and Sumari, our beloved friend MPs!
9.Naisubiri siku Hivi leo ndiyo kuna maandamano ya kupinga kufukuzwa wanafunzi wa Ndanda Sec?

unaona!!! yaani kwa jinsi ninavyokufahamu..... siku JF ikibaki siasa tu utaanzisha CF (chit-chat forum) uongo?
Pakusifia acha pasifiwe bana. . . nakukubali and that's that.Ha ha ha ha
Lizzy bana, una mkwara wewe.
Itakuwa mtu aliiba password yangu bana
Siasa inaamsha maruhani kichwani kama Lawino.
Naisubiri siku King'asti atakapovamia kwa my wi wake ADI!!!