mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Kwa miaka mingi iliyopita Tuliaminishwa mpinzani ni mtu safi, anayefuata taratibu za nchi, asiye na ujanjaujanja wowote, mwenye nia ya Kuitoa CCM madarakani kwa sababu inaonea watu, imepoteza dira zake, ni kama genge la wanya'angyi.
Kwa Muda mfupi nimegundua
1: Kuna wapinzani hadi viongozi wao Wanakwepa kodi.
2:Kuna wapinzani wananufaika na mianya ya uzembe wenda wa serikali zilizopita kwa kutokufuata Sheria,Taratibu na Miongozo.
3:Kuna wapinzani wanatumia figisufigisu kupata viongozi wao wenyewe
4:Kuna wapinzani wasio na nia ya dhati, wako radhi watumie Million 20 kwenda kutoa msaada wa Laki tisa .
5:Wapinzani wetu wanabadilikabadilika kimawazo na mitazamo kila kukicha kutegemeana na Matukio na sio Mipango yao kabambe ya Muda mrefu na mfupi.
Mifano hii michache, Nawaomba wapinzani tusiruke hitaji la usafi katika kuitafuta tanzania mnayodhani mnahiitaji. Kama ningekuwa na uwezo wa kuishauri serikali iendelee kufukua na kuweka dhahiri uozo wowote uliopo kwa viongozi au taasisi za kisiasa za kipinzani ikiwepo matumizi ya ruzuku, ili kama hawakidhi viwango vya uadilifu wajichuje, Kuna uwezekano tukapata au wakaibuka wengine ambao watakuwa tayari kuiipa changamoto serikali wakiwa na mikono myeupe.
Ombi:Zinagatia wigo wa mada