Naishi naye ndio, Lakini...

Sometimes Mungu hukupa unachostahili ,sio unachokitaka,Mungu angekupangia huyo mchumba wako huenda ndio angekuwa ndani kwako muda huu.mpe thamani mama mtoto wako.riziki yako ipo kwa mama wa mtoto wako ndio maana uko nae kwa miaka yote hiyo.hiyo " U turn" unayotaka kufanya itakugharimu hapo baadae na utashangaa.mwambie huyo unayemuita mchumba wako atafute mtu mwingine mapema asipoteze muda.hakuna bond yoyote kati yenu ( navyoona mimi).utachuma janga hapo nakwambia.ukija kuishi na huyo mchumba wako atakunyoosha,hakuna rangi utaacha kuiona.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba apige gambe hisia zisome tena...[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Usiishi na mwanamke usiyempenda eti kisa umezaa naye, Mwandalie Mazingira mazuri mama na mwanao halafu muoe haraka mwanamke wa ndoto zako ili uishi kwa furaha, Usitishwe na maneno hakuna revenge wala kisasi
Kama hukumpenda why udinye bila ndomu??? Alafu kizembe tu unampa mimbaa..bora bhasi upate dhambi ya kutoa kuliko kumpa mateso mwanao na huyo mwanamkee...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndoto za Kuwa kama Mengi[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ninahisi huna hisia na mama wa mtoto kwa sababu yeye hana elimu unayoitaka na pia kwao hawapo vizuri kiuchumi so unawaza yeye na familia yake watakuwa tegemezi sana kwako kulinganisha na huyo unaesema unamalengo nae, nakushauri mtengeneze awe km vile unavyotaka aina ya mwanamke unayetaka kuwa nae.
Kingine, sisi wanaume ni ngumu sana kuwaelewa wanawake jinsi walivyo tofauti na wanawake wenyewe kwa wenyewe.embu soma kwa umakini comments za wenye ID zenye uelekeo wa kike between the lines utagundua kitu!
 
Oa mama wa mtoto, Mungu anamakusudi yake
 
Kazi kweli kweli itabidi tu umuoe huyo Mama mtoto wako maana utakitesa kiumbe ambacho hakina hatia kwa kukosa malezi ya pande zote mbili.
 
Sikiliza wewe kijana. Acha kuchezea wanawake utakuja kujuta. Nitakupa kisa fulani kidogo tu. Kuna rafiki yangu fulani aliajiriwa huko kanda ya ziwa. Baada ya kuona maisha ya kupika ni taabu akajipatia house girl wa kisukuma tena mkubwa tu na wakati huo alikuwa na mchumba wake aliyekuwa akija kumtembelea. House girl naye hakuwa mjinga kwani kwa ushawishi wa wapambe aliweza kumtega jamaa mpaka akawa anagonga vitu. Zoezi hilo liliendelea kwa muda mrefu tu. Shida ilikuja pale alipomwambia arudi kwao kwani kipindi cha kufunga ndoa na mchumba wake kimekaribia. Ndani ya wiki hiyohiyo jamaa aliugua kwikwi mfululizo ambayo ilimuondoa duniani. Hakuna mwenye uhakika kama binti yule alihusika au la. Hivyo chukua tahadhali kijana. Acha kucheza na hisia za wanawake.
 
Duh unamtihani mzito kaka ila tu nakushaur muulize anaweza kufanya biashara gani MPE mtaji usimwache hivi hivi naungana na ww mapenz yanajengwa na hisia pia pole
 
Awa wanawake wa kuwapenda mi walishaniumiza,na kupelekea baadhi ya mambo ktk future yangu nmefeli.Jitahidi kijana mwanamke akikupenda jitahidi umpende afu ni mzazi mwenzio.uyo mchumba atakuumiza na utapoteza muda,maisha ni hayahaya.mi nmependwa nmependeka na enjoy my life,no stress at all.Ayo mambo malengo makubwa ata uyo mtafanya nae.





Ni ushauri.mkataa pazuri...........
 
Aisee itakuwa alimlogaa walahii.. Kwikwi inamuuaje mtu????
 
Umemaliza hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…