Mshauri wewe labda atakuelewa,,maana mm nimeshindwa hata kushangaaMchumba wako atakua wakwanza kuiona pepo. Yani umzalishe mtu (nitakuelewa) na bado uishi nae ndani chief??? Nisingekubali huo upuuzi labda kama na mimi nina mishe zangu na kwako kuna ninachofaidika nacho ila mapenziwise siwezi kubali huo upumbavu
How are you, lady???😀😀😀😀Ulikuwa unajua wewe ndiyo unampenda tuu na yeye hakupendi boss?[emoji13]
Hakika wanawake mmeumbwa tofauti, unajua mimi ukizalishwa tu wakati tupo kwenye mahusiano sikuelewi. Labda nkukute tayar una mtoto wako ila umezalishwa wakati upo nami?? Basi duh hapatoelewekaMchumba wako atakua wakwanza kuiona pepo. Yani umzalishe mtu (nitakuelewa) na bado uishi nae ndani chief??? Nisingekubali huo upuuzi labda kama na mimi nina mishe zangu na kwako kuna ninachofaidika nacho ila mapenziwise siwezi kubali huo upumbavu
Hapo ndiyo unakwepa swali langu.How are you, lady???[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwamba?? Halafu mbona kama unataka uniunguzie picha best??Hapo ndiyo unakwepa swali langu.
Nachoweza kumwambia huyu mtu, hisia nae anazo ila ana tamaa, anaonekana anapenda sana chini...anamlinganisha mke wake na wanawake wengineMnaomshauri kuwa amuoe mama mtoto wake mko sahihi na kwa wakati mmoja pia hamko sahihi kumbukeni huyu amesema pamoja na yote hana hisia naye sasa mwanaume kuishi na mwanamke asie na hisia nae kitakachofuata ni nini..?
.
Ila bado namshauri ajifunze kumpenda aliye zaa nae pengine ndie Mungu amempangia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]basi naacha.Kwamba?? Halafu mbona kama unataka uniunguzie picha best??
Hahahahahahaha haya kanywe chai sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]basi naacha.
Sina hata cha kumshauri kama yeye mwenyewe hata hajui nina anakitakaMshauri wewe labda atakuelewa,,maana mm nimeshindwa hata kushangaa
Nitaelewa umbali ulichangia kupata tamaa ukanicheat yakatokea yaliyotokea. Sasa kuishi nae tena hapo siwezi kukuelewa kabisa.Hakika wanawake mmeumbwa tofauti, unajua mimi ukizalishwa tu wakati tupo kwenye mahusiano sikuelewi. Labda nkukute tayar una mtoto wako ila umezalishwa wakati upo nami?? Basi duh hapatoeleweka
Sasa si ndio mbali huo huo unanifanya naishi nae, unadhani mimi kila siku ntananihii wali wakati wewe upo kagera huko??Nitaelewa umbali ulichangia kupata tamaa ukanicheat yakatokea yaliyotokea. Sasa kuishi nae tena hapo siwezi kukuelewa kabisa.
Hivi wanaume mnaweza kuishi na mwanamke usiempenda??Mkuu hapa huna jinsi tena, huyo mtoto anahitaji malezi yenu wote...oa tu kwani hata zamani wazee wetu walikuwa wanaoana kimazoea. Hampendani ila baada ya muda mnaanza kuzoeana na kupendana, mazoea yana taabu na raha yake pia.
Nikanywe chai,? kwa imani yangu huu ni mwezi wa toba.Hahahahahahaha haya kanywe chai sasa
Kuishi nae na bado na mimi niwepo? Huyo dada lazima ana mambo yake huko alipo. Hamna mtu anaependa anaekubali kushare huba lake kirahisi hivyoSasa si ndio mbali huo huo unanifanya naishi nae, unadhani mimi kila siku ntananihii wali wakati wewe upo kagera huko??
Kwa hiyo unatubu best???Nikanywe chai,? kwa imani yangu huu ni mwezi wa toba.
Sawa bhana!Kuishi nae na bado na mimi niwepo? Huyo dada lazima ana mambo yake huko alipo. Hamna mtu anaependa anaekubali kushare huba lake kirahisi hivyo