Naishi naye bila hisia

Naishi naye bila hisia

Hilo jambo la kukuta anachat na mwanaume mwingine nalo ni kitu kingine,najua unajaribu kulipotezea ila ukiona tu jambo linafanana na lile moyo unakufa ganzi.Ushauri wangu ni kuwa tafuta mwanamke mwingine uoe,hilo jambo la kukaa nae tu bila ndoa linamfanya aanze kufikiri ndoa nawatu wengine...

Lakini nimezaa nae mkuu watoto wanne bahati mbaya tu ilitokea.
 
Na kipindi chote hicho baada ya wale mapacha kufariki hajawahi tena kushika ujauzito imepita miaka miwili sasa na mimi nahitaji familia umri unasogea(wale mapacha wa yule nilie achana nae sijawahi hata kuwaona hivyo sina uhakika nao kama ni kweli ama lah).
Janaume moja bwege sana. Hopeless kabisa
 
Kazi unayo kiongozi,ule tu ujasiri wa kuzaa na mtu mwingine alafu unaachana nae,aixee hiyo dam yako huwazi hata
 
hakuna kipengele umeonesha kuwa mlipima HIV...

vijana wa siku hizi hawana hofu ya UKIMWI, wanaogopa mimba tu kmmk!
HIV sio rahisi ivo mkuu

90% tuna anza maisha ya kuvutana bila kupima na mzg unakuwa safiiii


ni wachache sana wanaop pima
 
Hisia kwenye mahusiano hupotea na kuja ndio ipo hivyo ni kama tu leo unahau ya kula ugali nyama unaweza kula mfululizo wiki ila wiki inayofuata usitamani tena kula ugali nyama ukatamani kula chips yai.

Kukosa hisia kwenye mahusiano ni hali ya kawaida unachopaswa kufanya ni kutafuta safari ukae peke yako au kuwa bisze na mambo mengine hadi hisia zitaporudi tena usilazimishe hisia.
Uzi uishie hapa👏👏👏
 
Kuna agano la kifamilia kwenu...

Agano la kifo Cha watoto.

Fanya uvunje hilo agano kwa damu ya YESU.

NB: Kama ni Mkristo, sadaka ya ujenzi wa madhabahu ndio inaweza kuvunja agano hilo.

Ikumbukwe hilo agano lilitolewa Sadaka ya kafara ya damu hivyo lazima Sadaka ihusike.
 
Kuna agano la kifamilia kwenu...

Agano la kifo Cha watoto.

Fanya uvunje hilo agano kwa damu ya YESU.

NB: Kama ni Mkristo, sadaka ya ujenzi wa madhabahu ndio inaweza kuvunja agano hilo.

Ikumbukwe hilo agano lilitolewa Sadaka ya kafara ya damu hivyo lazima Sadaka ihusike.

Una maanisha nijenge kanisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom