Naishi lakini nina hofu

Umeonge point sana bro......tunafikiria matumbo yetu zaidi.......mshahara anapata but ana hofu ya kampuni kufariki...why asiingie front kujua kinagaubaga....ili kuongeza ufanisi mapato yaongezeke na mshahara upand...anakimbili JF kuonyesha uoga na udhaifu alio nao.....
Hilo jambo unalozungumzia halipo ktk kamusi yetu wTZ..

Lukaku marata " soma hapo juu na tuchukue hatuwa ya kusaka au protect Co.yako.."
huo ni mti unaokupa kivuli na matunda ya maisha... jitume/pambana/wasaidie.. usiogope usibebe hofu bure!!
 
Habarini za humu wanajamii,hapa nimefikiria nikaona hebu nije kuomba ushauri au mawazo katika hili.

Ninafanya kazi kwenye company moja hapa mjini kwa takribani miaka miwili hivi toka nimalize elimu yangu ya juu cha kushangaza ile company toka naingia ilikuwa ni startup yaani ndo inaanza ila toka ianze na mimi hadi leo mshahara napokea vizuri tu kila mwezi kama 800k hivi per month, ila cha kushangaza tokea company ianze mpaka leo haijawahi rudisha hela iliyokuwa wanainvest shortly haiingizi faida toka ianze.

Nimepanga na mtoto mmoja ila nina hofu siku ikifungwa sijui itakuwaje na ajira zilivyongumu hivi nimejaribu vibiashara hata haviendi yaani full stress sijui hata niseme vipi
Umejuaje kama haipati faida wewe ni muhasibu wa hiyo kampuni unajua unachofanya ndiyo maana unajihami sasa siyo?
 
Ila watu bwana hamuwezi hata kushukuru Mungu nikujilalamisha tu muda wote?hela wanazo kulipa ww wanazipata wap?km unalipwa kika mwezi ujue kampuni inachanzo cha mapato kingine ambacho hukijui.na si lazima ufanye kazi uliyo somea.
Wenzie tuko mjini, familia kusomesha tunakopa mpaka magengeni mshahara laki 5. SASA jaribu uache hiyo kazi.
 
Habarini za humu wanajamii,hapa nimefikiria nikaona hebu nije kuomba ushauri au mawazo katika hili.

Ninafanya kazi kwenye company moja hapa mjini kwa takribani miaka miwili hivi toka nimalize elimu yangu ya juu cha kushangaza ile company toka naingia ilikuwa ni startup yaani ndo inaanza ila toka ianze na mimi hadi leo mshahara napokea vizuri tu kila mwezi kama 800k hivi per month, ila cha kushangaza tokea company ianze mpaka leo haijawahi rudisha hela iliyokuwa wanainvest shortly haiingizi faida toka ianze.

Nimepanga na mtoto mmoja ila nina hofu siku ikifungwa sijui itakuwaje na ajira zilivyongumu hivi nimejaribu vibiashara hata haviendi yaani full stress sijui hata niseme vipi
Mtumaini Mungu, Atakulinda na Kukuongoza.
 
Nilishawahi kujaribu kutoa ushauri na namna bora ya kufanya kutokana na uwezo wangu ili tuanze kupata faida ila maboss hata hawana time
Ukiona wewe ndio maana upo hapo bado na unalipwa, piga kazi, maisha yapo pote.
 
ni dhahiri kabisa huna elimu ya fedha kama mamilioni ya watz wengi wakiwemo hata mawaziri wanaotuongezea matozo kila siku.

soma vitabu vya rich man in babilon na richdad poor dad, vitakupa msingi wa elimu ya fedha,

haijalishi una masters ya finance, degree ya uwekezaji, cpa, n.k kama hujasoma hivyo vitabu ni sawa na bure tu.

kwa wenzetu huko india, ulaya, mtoto mdogo kabisa hivi vitabu ashaviingiza kichwani,

ujinga wa kutokuwa na elimu ya fedha umegharimu wengi sana kuanzia wafanyakazi wanaolipwa vizuri, wanamichezo na wasanii wa juu, n.k.

bila kuwa na elimu hii tena kwa huo uoga wako, jiandae tu kisaikolojia siku wakifnga
Umeongea point sana ndugu yangu

Financial literate ni muhimu sana sana. Vitabu ulivopendekeza ni nguzo kuu muhimu sana ktk kupata maarifa ya elimu ya fedha

Binafsi hivi vitabu viwili vya Rich Dad Poor Dad na The Richest Man In Babylon VIMENISAIDIA SANA
 
I try to save but what i am worrying about siku company ikifungwa sijui itakuwaje

Hayo ya itakuwaje, muachie Yesu. Mwokozi wa Maisha yako.
Tambua hata ukifa leo, wanao wataishi tu. MUNGU alikwisha waandalia wataishije.
 
Back
Top Bottom