Naishi kama jambazi sipo huru

Naishi kama jambazi sipo huru

ndege JOHN
Mkuu nimefuta comment yangu ya mwanzo nili comment bila kuangalia vizuri kama ni wewe
Mkuu,
Kula maisha mkuu acha kutizama watu Ili mrad hauvunji Sheria za nchi........
 
Hayo maswala ya KULEWA kwa MJUMUIKO/KIFAMILIA/KIVIKOBA/KIMAKUNDI sio kabisa.

Mimi nikitoka kulewa/starehe naenda mimi kama Mimi. Kulewa kimakundi sio kabisa maana unaweza ongea neno dogo tuu likatafsiriwa vibaya. Na mbaya zaidi kulewa na wafanyakazi wenzio maana lazima mtaongea maswala ya KAZI tu na hapo ndio zinaaanza ***** *****.

Hata Kwenye ngazi ya KIJAMII usipende Mchangamano sana just limit it.
Yeah kweli mkuu ukitoa boko moja linaweza kukunyima amani muda mrefu..kuna siku nililewa nikampigia simu staff mwenzangu lengo nimuite bar sijui ilikuwaje nikaropoka namuuliza staff we ndo unayemsimulia mke wangu kuwa me ni malaya aisee staff ali mind sana ni mdada mtu mzima yaani sikuchukulia kama angelivalia njuga suala hilo ilitokea beef kali ndo maana naunga mkono kama unalewa bora ulewe na wenzako mambo ya kuongea na wasio kunywa sio kbs
 
Niliishi mikoa iliyotanuka na kujengeka katika majiji,mikoa ambayo hata uwe na tabia zako za kipekee mfano ulevi huwezi kuwa maarufu mkoa wote utaishia kutambulika mtaani kwenu tu.Sasa ghafla maisha ya kikazi yananipeleka kituo cha kazi kilichopo kwenye kamkoa kadogo watu wachache,Sasa kama mnavyojua mahusiano ya kijamii ukitoa ya kazini hayakwepeki nikajikuta natengeneza mazoea na watu vijana na watu wazima yaani sibagui mtu akitaka urafiki simuangalii elimu yake,kipato chake,sura yake au dini yake mimi nitamchangamkia na kwa kuwa siyo mchoyo wa pombe basi ukifanikiwa kunipata katika sehemu ya kunywa kama nina hela lazima nikukunulie yaani sina uchungu sana na pesa.

Kingine tukikaa tukapiga stori huwa sipendi tuzungumzie habari za watu wengine mara sijui kumsengenya mtu me huwa naziruka kwa hiyo hiyo hali inafanya ni kama watu wanipende fulani waone sio mtu mmbea mbea .Mimi nikikaa na maraia huwa najitahidi sana kuelezea manondo ya jamiiforum yaani madini mnayoyatema wanajamiiforum mimi ndo huwa kitaa nayamwaga kwa hiyo naonekana kichwa ama nina haiba na ushawishi sana kumbe nacopy

Sasa kumbe ile hali ya kuchangamana na watu hasa wasio na kazi ili kuweza kuwatia faraja wakuone huringi inaniumiza kisaikolojia kwa sasa ni kama wanakupa umaarufu ambao huutaki wanaita uchawa siku hizi yaani unaweza kuwa sokoni au mjini ghafla mtu anakuita jina lako kwa nguvu lengo akupe hii au akutoke posho sijui wanadhani unakuwa na hela kila siku.unakuta mtu ambaye mnajuana juu kwa juu tu au labda kapewa stori yako na mtu mwingine sasa ile mimi siipendi kwa sababu ya hofu nakosa tena kujiamini nahisi kama mabaya yangu yanaweza yakaenezwa zaidi japokuwa hata mazuri yatasemwa. kingine huwa nakuwa na hofu flani labda usalama wametanda kila sehemu kuchunguzachunguza watu na wanadai watumishi ndio wanachunguzwa zaidi kwa hiyo wasiwasi unakuja labda nitaharibiwa kazini nikionekana naongea mitaani na vijana wala bangi.

Mimi huwa napenda makundi mbalimbali ya wanakitaa pengine siku una tatizo wanakuchukulia kama wewe ni mzawa kumbe wakuja ila matokeo yake yanaanza maneno ofisini mara wewe umekuja kazini lakini umekuwa maarufu kushinda wenyeji mara sijui bar zote unajulikana.kwa hiyo hiyo hali najikuta naanza kuishi maisha ya kujifungia ndani yaani hata mahitaji naenda kununua mida ya usiku lengo nisionekane na watu wanaonipa umaarufu usio na faida sana
Kwa hiyo nawapa code za kuishi mkoa wa ugenini kwanza unapokunywa pombe kama ni muoengeaji basi usipende kusema wasiokunywa utachukiwa wewe kaa na walevi wenzako piga kelele njiani au ukirudi home hata wapangaji usiwasemeshe ingia zako ndani..nadhani nimeeleweka japo uandishi sipo vizuri sana

Haters watakuja kusema ni hangover ndo linanisumbua baada ya kuchoma kibunda Weekend kwa hiyo ndo mawazo ya kukaa nyumbani na kutulia yanakuja na kama siamini nitoe lock kidogo kama sishuki bar hahahahahaha kukaa ndani kipengele huchelewi kujichukulia sheria mkononi mara kwa mara [emoji23]. Niko serious kisaikolojia inanitesa nawaza sana mpaka kuhama mkoa nikaanze maisha upya nisijulikane ama nisiishi kinafki kama nimeamua kuwa sele niendelee tu kuwa selemani.
Wakati unaandika huu uzi uko sobber Au Umerewa
 
ndege JOHN
Mkuu nimefuta comment yangu ya mwanzo nili comment bila kuangalia vizuri kama ni wewe
Mkuu,
Kula maisha mkuu acha kutizama watu Ili mrad hauvunji Sheria za nchi........
Hahahahahahahahah
Sometimes najishtukia mkuu pengine GSO wako bar wanachora tunavyoruka amapiano..maana nasikia kiutaratibu kbs mtumishi hutakiwi kuwa mlevi
 
Wakati unaandika huu uzi uko sobber Au Umerewa
Jana ndo nilikula vyombo sana leo hata kula nimeshindwa mate natetemeka tu hapa sijala msosi.sijui kama jioni sitapata hallucination itabidi nikatoe tu lock hakuna namna lengo ni mizuka na kufakufa.
 
Mkuu,
Hakuna anae juaga kua mm am 4 real Huwa na kunywaga divai sometimes....

Kikubwa uwe na kiasi na ufuate principal yaan ni Kwa kiasi mkuu......
Kweli mkuu dah me bahati mbaya niliingia kwenye mitego ya overdrinking,kuzima na kufanya fujo hasa mapombe makali kwa hiyo hata washikaji wakiniita bar naona kama lengo lao ni kuni enjoy yaani niharibu
 
Yeah kweli mkuu ukitoa boko moja linaweza kukunyima amani muda mrefu..kuna siku nililewa nikampigia simu staff mwenzangu lengo nimuite bar sijui ilikuwaje nikaropoka namuuliza staff we ndo unayemsimulia mke wangu kuwa me ni malaya aisee staff ali mind sana ni mdada mtu mzima yaani sikuchukulia kama angelivalia njuga suala hilo ilitokea beef kali ndo maana naunga mkono kama unalewa bora ulewe na wenzako mambo ya kuongea na wasio kunywa sio kbs
Hahaha mnakunywaga nini jamani mpk mnafikia kupoteza MEMORY CARD kias hicho hahah
 
Mkuu zile na pombe haziendani aisee kipindi hiko nilikuwa mnywaji mdogo duh siku hizi gari limewaka moto kaka.najilaumu sana hii lifestyle niliyonayo
😄😄😄😄 Bia tamuu...ila ukilewa Huwa naonaga ndio muda mzuri WA kufanya zile...unalala chalii kisha unakuwa free sana...pale
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Bia tamuu...ila ukilewa Huwa naonaga ndio muda mzuri WA kufanya zile...unalala chalii kisha unakuwa free sana...pale
Hahahahahah mkuu umetisha sana uko sahihi lengo la mfumo huwa ni kuzima kweli..
 
Pole sana rafiki .
Hiyo hali yako ndiyo ilinifanya kila weekend nikimbie kukaa kijijini maana walishaanza kunichora na maneno ya chini chini .

Basi ikanibidi weekend niwe nakuja mjini kufurahia maisha , leo nipo guest siku ya tatu sina nauli ya kurudi kijijini nililewea mshahara wote .

Watu wa kazini wamepiga mara kupiga simu zao naziangalia natetemeka tu nawaza nifanyeje kurudi kazini maana kila ninayemgusa anadai kwani mshahara si umeshatoka ? [emoji3][emoji3] Asijue mimi yamenikuta yapi huku kwenye burudani zangu.
 
Kakope mkuu faidikaletshego ni mwendo wa top up tu mkuu.kwani kazi yako si ina per diem vumilia miezi hii mitatu ya nyuma kazi ziliblock mfumo ila now zikifunguka ni kama bomba linapasuka maana ma boss na wenyewe wana shida ya pesa
 
Utakuwa mwalimu ww
 
Oya nafanya ujinga wote ila kukopa kaka naogopa sana hasa kwenye hivi vibenki uchwara .

Ni miaka sasa najishauri kukopa huko lakini bado sijaamua mimi mkopo wangu mkubwa ni salary advance .

Lakini walisema kila mbuyu na shetani wake yaani mimi wa kuinywa laki tisa usiku mmoja na demu niliyelala naye jumamosi kumbe ana meno kaweka ya bandia [emoji10]

Aaaagh kila nikiwaza naumia sana yaani kila ninaye mcheki ananiruka mpaka ninaowadai ila usijali bro , napanga ikifika asubuhi sijapata mtu wa kunipa ten ya kunifikisha ofisini basi nitapiga mguu ado ado nitapata lift huko huko njiani .

Huu mkweche naucha hapa bar kaka .

Sema nini pombe raha ni rafiki mzuri sana .
 
Umeongea sana MKuu Hadi povu la Omo,ila tatizo ni Wewe na Sio waja,hakikisha umejifunza na upunguze shobo na kiherehere.Kwani lazima ukazuzure Kila mahali?Kwani huwezi Tuliza mbupu ghto!?
 
Back
Top Bottom